Ushauri kwa serikali: tuwekeze kwenye umeme wa uhakika na kuzalisha chuma kama kweli tunataka Tanzania ya viwanda

Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,016
2,000
Habari

Ningependa kuishauri serikali ya Tanzania kama kweli ipo na nia ya kuendeleza viwanda hapa nchini basi iwekeze katika uzalishaji wa chuma na umeme wa kutosha.
Maana ya kusema hivi ni kwamba Ukishakuwa na chuma ya kutosha basi miundombinu ya msingi ya viwanda huna haja ya kuhangaika tena vilevile umeme ndio chanzo kikubwa cha nishati ya uendeshaji wa mitambo ya viwanda.

Ni hayo tu kwa leo.

Ahsanteni!
 

weed

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
2,125
2,000
Kama washauri anawashauri yeye.
(Chaaaaaaato crdb)
Sasa sijui kama wewe atakusikia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom