Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Imekuwa kawaida Gazeti likiandika habari za Uongo au uchochezi linafungiwa au mtu akikiuka Sheria za nchi Biashara yake inaharibiwa, binafsi naona utaratibu huu wa Serikali hauna tija na unaitia tu hasara Serikali yetu, kwa nini Serikali yetu isianzishe utaratibu wa kuwatoza watu faini?
Hakuna ulazima wa kufungia Kiwanda, wapigwe faini ndefu ambayo ni lazima wailipe na hiyo hela tuitumie kwenye mambo ya Kimaendeleo, kama Gazeti likikiuka lisifungiwe bali lipigwe faini, likirudia faini iongezeke hivyo hata Mbowe angepigwa faini ndefu tu kama angeendelea kutokutii iongezwe hivyo, ...