USHAURI KWA SERIKALI SIKIVU YA CCM

lyalya

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
599
549
Kwa mimi nianze kwa kumupongeza Mh.Raisi kwa jitihada zake za kuiweka nchi kwenye njia iliyo sahihi.
Lakni ndugu Zangu wana Jf na watanzania wote Mimi nimeshangaa sana pale Mh.Raisi alivyo sema wale mawazari waliosaini hii mikataba wahojiwe ,Ila kumbuka hawa waheshimiwa walikuwa chini ya wakubwa zao .Sasa napenda nitoe ushauri wangu kwa Serikali makini ya chama cha mapinduzi kama kweli kuna nia ya kuliokoa taifa naomba hawa waheshimiwa Raisi zetu wastaafu wahojiwe ili watuweke wazi kwanin wametufikisha hapa tulipo ?
 
Back
Top Bottom