Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Kwako serikali ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.

Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikelwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.

Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekua wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Binafsi nimekuwa nikikelwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.

Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.

Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.

Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.

Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.

Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.

Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Acha ulevi asubuhi wewe unajipendekeza kwa rais unataka uteuzi?
 
Hii nchi ina watu wa ajabu sana... ninaposema watu wa ajabu sana ni wewe unayejiita Meneja Wa Makampuni!!

Yaani mtu anyang'anywe passport eti kisa kamtukana rais?! Like serious?!

Yaani anayemtukana rais kwako unaona ni mtu mbaya zaidi kwa taifa kuliko mafisadi?! Are you serious?!

Kama anayemtukana rais anyang'wanye passport, what about Rais mwenyewe aliyegoma kuwachukulia hatua mafisadi wakubwa nchini kwa sababu tu ni wanasiasa wenzake?!

Seriously TCRA itafute watu wabobezi wa ku-deal na wanaomtukana rais?!

Maajbu ni pale unapoanza kutangaza uzalendo wako na kudai umepita jeshini na una machungu na nchi yako lakini hoja yako haioneshi allegiance to your nation but to the president!!

Hivi nyie watu hadi lini mtakuwa na dhana potofu kuhusu uzalendo?!

Hivi una habari mtu wa kawaida anaweza kuwa mzelendo kuliko rais aliye madarakani?!

Hivi una habari anayemtukana rais anaweza kuwa ndie mzalendo kweli kweli kuliko hata rais mwenyewe let alone watu aina yako mnaotutangazia uzalendo wakati allegiance yenu ipo kwa rais na/au serikali badala ya taifa!?
 
Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.

Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.

Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.

We dogo kwa tabia zako hizi za ukuda utagongewa demu wako, we unajua uzalendo Nini?, nyau we!
 
Sioni kama serikali inaweza tumia rasilimali zake kumfuatilia kila mtu anayeitukana nchi na viongozi wake akiwa nje ya nchi au nyuma ya keyboard. Kuna mambo mengi sana ya kufanya kuiletea maendeleo nchi kwa faida ya wananchi wanaoishi nchini
Wanaotukana ni wa kupuuzwa kwani wanaamini huko waliko ndio kwao
Wameshindwa kuwapa hela za kutosha wanavyuo,hizo hela za kufund huu upuuzi zitatoka wapi?
 
Mkuu wewe hujanielewa vizuri. Labda utakua na shida ya kiakili. Swala la kuwanyang'nya passport linahusiana na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya Tanzania.

Mfano mtuhumiwa anayewaita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ya serikali ndio imempeleka huko kwakua ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.

Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ya serikali ndio imempeleka huko kwakua ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.

Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako ukiwa nje ya mipaka yake.

Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu.
 
We dogo kwa tabia zako hizi za ukuda utagongewa demu wako, we unajua uzalendo Nini?, nyau we!
Mkuu hapa hatuzungumzii mademu. Tujikite kwenye mambo ya maana sawa. Kusuka sheria ili kulinda taifa zidi ya watu wakorofi sio jambo baya hata kidogo.
 
Sioni kama serikali inaweza tumia rasilimali zake kumfuatilia kila mtu anayeitukana nchi na viongozi wake akiwa nje ya nchi au nyuma ya keyboard. Kuna mambo mengi sana ya kufanya kuiletea maendeleo nchi kwa faida ya wananchi wanaoishi nchini
Wanaotukana ni wa kupuuzwa kwani wanaamini huko waliko ndio kwao
Mkuu nadhani bado hujaelewa nilicho kiandika. Na hilo laweza kuwa ni sababu ya low thinking ability. Kwani tangia uzaliwe umesikia watu wangapi walio mtukana Rais wetu? Kwa wewe unavyo dhani wanaweza kufika watano? Tumia akili kidogo uzi wangu upo wazi kabisa
 
Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.

Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.

Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.

Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.

Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.

Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.

Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.

Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.

Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
Passport ina sababu na masharti ya kumiliki kwa hiyo inaweza kunyang'anywa mmiliki kwa maksudi akiitumia kinyume na masharti hayo matusi na kejeli siyo mmojawapo. Matusi ni kosa la jinai kwa hiyo mtu yeyote akitukanwa anatakiwa aende Mahakamani, siyo kwa meneja uchwara wa kampuni ya Machinga, ambako Hakimu atamsikiliza na kumpa haki yake. Mtu akitukana mtu ni tabia yake siyo kwa kuwa ana passport Bali kuna tatizo kati ya hao watu wawili aliyetukanwa akawa ndo chanzo ndo maana wanaogopa kwenda Mahakamàni badala yake wanakwenda mitaani kuhurumiwa.
 
Mkuu wewe hujanielewa vizuri. Labda utakua na shida ya kiakili.
Look at you! Hutaki kukosolewa na ndio maana kila anayekukosoa unamwambia ana matatizo ya akili... VERY STUPID!! Sasa asiye na akili hapo ni nani?! Jibu nilichokuuliza, jinga wewe!
Swala la kuwanyang'nya passport linahusiana na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya Tanzania.
Kwa kutumia sheria ipi?! Hivi una akili kweli wewe?!
Mfano mtuhumiwa anayeita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ya serikali ndio imempeleka huko kwakua ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.
Jibu nilichokuliza: Fisadi na anayemtukana rais, nani ana athari kubwa kwa taifa?! Kwanini rais awe na sheria inayo-apply kwa peke yake wakati kila mwenye akili timamu anafahamu mtu anayetukana yeyote hukumu yake nini?!
Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ya serikali ndio imempeleka huko kwakua ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.

Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako ukiwa nje ya mipaka yake.

Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu.
Yote hayo ni ujinga mtupu na hatimae kuthibitisha kwamba ni wewe ndie usiye na akili badala ya hao unaowambia hawana akili simply because wameku-criticize.
 
Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu.

Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi wale wanaoishi ughaibuni.

Hawa mabwana wamekuwa wakitukana, kudhihaki na kumdharau sana Rais wa nchi yetu na wamekuwa wakifanya hivyo kupitia mitandao ya kijamii.

Binafsi nimekuwa nikikerwa sana na hawa watu waliokosa hekima na hata chembe ya heshima na adabu ndani ya mioyo yao.

Pengine ni mihemuko ya kiasiasa walio nayo kutokana kujenga mifumo ya siasa za kishabiki ndani yao.

Mimi kama raia mwema na mzalendo wa kweli, nimekuwa nikiwaza kitu kwamba mbali na adhabu za kuwapeleka mahakamani naishauri serikali yangu iwaongezee na adhabu nyingine ya kuwanyang'nya passport zao za kusafiria kwasababu passport ni mali ya serikali kupitia taasisi yetu ya uhamiaji.

Hivyo nawaomba uhamiaji wawanyang'anye passport hizo kwasababu wemeshindwa kuzitumia kwa heshima na adabu.

Lakini pia nawashauri TCRA watafute vijana wabobezi kwenye fani ya mitandao ili wawafuatilie watu kama hawa popote walipo. Kwasababu haya mambo yanawezekana.

Mbali na kufuatilia wezi wanao tutapeli fedha kwenye mitandao, tafadhali TCRA isaidieni serikali kufuatilia taarifa za watu wanamna kama hiyo. Kama mmekosa vijana hao mnaweza kuomba ushauri kwenye kitengo cha mawasiliano nchini China wao wanafanyaje.

Ningependa swala la kunyang'nya passport lihusiane na watuhumiwa ambao wanaitukana Serikali wakiwa nje ya Tanzania. Pamoja na watuhumiwa ambao wanamtukana Rais wakiwa nje ya mipaka ya Tanzania.

Mfano mtuhumiwa anayewaita waandishi wa habari na kumtukana Rais pamoja na serikali ya Tanzania mbele ya waandishi wa habari hao nje ya mipaka ya Tanzania. Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.

Pili mtuhumiwa anaye kwenda kwenye kituo cha kurusha matangazo ya habari nje ya mipaka ya Tanzania na kuanza kulisimanga vibaya taifa letu pamoja na kumsimanga vibaya Rais wetu.
Sasa kwa vile passport ambayo ni mali ya serikali ndio imempeleka huko na hiyo passport ni mali ya serikali, sio vibaya mtuhumiwa huyo akanyang'anywa hiyo passport.

Kwa hivyo ili kumfunza adabu mtuhumiwa huyo inatakiwa anyang'anywe passport ili abaki ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi kuheshimu taifa lako akiwa nje ya mipaka ya taifa letu.

Mtuhumiwa mwengine ni yule ambaye anatukana viongozi kwa njia ya mtandao ila akiwa nje ya mipaka ya Tanzania. Anapata uhuru wa kufanya hivyo eti kwa vile yuko nje ya Tanzania.
Sasa huyu naye inatakiwa anyang'anywe passport ya serikali ili atulie ndani ya mipaka yetu ajifunze jinsi ya kuheshimu taifa letu.

Wenu katika ujenzi wa taifa,
Meneja wa Makampuni.
how much money do you make per day mr?...but ill tell you what when you're out here preaching about something you dont have business to do with and people who dont even know you they bag more money, and grow rich and rich everyday and they gonna be rich and left you trapped in that idiot circle you just built and lock in by your damn self. Do you think him(president) he didn't saw them, or the authorities(tcra,immigration)? The answer is yes they saw em and heard very clearly but they got no time deal with them because they know they just as idiot as you.
Halafu utakuta mwnamke naye anajisifia na yeye ana mwanaume kama wewe me huwa najiuliza huwa huoni aibu kuongea mambo kama haya ..hahahahah shame on you brother shame on you
 
Look at you! Hutaki kukosolewa na ndio maana kila anayekukosoa unamwambia ana matatizo ya akili... VERY STUPID!! Sasa asiye na akili hapo ni nani?! Jibu nilichokuuliza, jinga wewe!
Kwa kutumia sheria ipi?! Hivi una akili kweli wewe?!
Jibu nilichokuliza: Fisadi na anayemtukana rais, nani ana athari kubwa kwa taifa?! Kwanini rais awe na sheria inayo-apply kwa peke yake wakati kila mwenye akili timamu anafahamu mtu anayetukana yeyote hukumu yake nini?!
Yote hayo ni ujinga mtupu na hatimae kuthibitisha kwamba ni wewe ndie usiye na akili badala ya hao unaowambia hawana akili simply because wameku-criticize.
Dawa imesha kuingia tayari
 
Mkuu tuna hoja nyingi muhimu za kujadili kama taifa..hii ya kwako ni "useless" nikushauri tu kuwa nenda kamshirikishe "mumeo" sio sisi. Umenielewa? Ovaa!
 
Back
Top Bottom