#COVID19 Ushauri kwa Serikali: Kupima COVID-19 iwe bure baada ya hapo ndio mtu akachome chanjo

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
2,189
2,000
Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali:

Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika.

Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo?

Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili la kumchanja mtu bila kumpima kama ana CORONA au hana.

Naiomba serikali sikivu ya Mama iangalie hili! watu wanakufa sana na hii ndio sababu kuu.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,344
2,000
Kwao la maana ni tozo. Wanataka pesa. Umuhimu wa maisha ya watu kwao si suala.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,344
2,000
Watake radhi unaowasema!

Hawa ambao wametufikisha huku?

IMG_20210812_095720_799.jpg

Sisi tunalipa kodi, kodi na tozo ndani ya janga la UVIKO vimeongezwa na tunajigharimia wenyewe matibabu yetu kwa ugonjwa wa UVIKO.

Upo wewe kwenye kundi hili?

Tumtake radhi nani aliyetufikisha huko?

You must be kidding!
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
3,045
2,000
Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali:

Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika.

Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo?

Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili la kumchanja mtu bila kumpima kama ana CORONA au hana.

Naiomba serikali sikivu ya Mama iangalie hili! watu wanakufa sana na hii ndio sababu kuu.
Ni wazo zuri. Lakini watasema una data ku-suport statement yako kwamba wanaokufa baada ya chanjo wote walikuwa tayari wameambukizwa?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom