Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya ujenzi pamoja na Tanroads kwa kuwajali wazawa hasa awamu hii ya tano.
Pili nipongeze kwa kuanzisha kitengo cha ushauri (Tanroads engineering Consultancy Unit ) ambacho kinajulikana kama TECU. Nimefarijika sana baada ya kuona TECU ndio mshauri wa barabara ya Mbezi -Goba . so hivyo tu pia kuna Barabara nyingi tuu ambazo TECU wanazisimamia hata zile ambazo wakandarasi ni wachina.
Kitengo hiki kinatakiwa kikuzwe na kufikia kiwango cha kujitegemea chini ya tanroad ili kujenga uwezo wa ndani katika kujenga miundombinu na kuokoa pesa nyingi ambazo hupotea kwa kuwalipa washauri (Consultants) toka nje kama COWI etc.
Pamoja na hilo naomba wizara itoe agizo kwa vyuo vyote nchini has a vya serikali kuwa na makampuni ya ushauri kama ilivyo pale MUST mbeya (MUST consulting Bureau (MCB)) ili kujenga uwezo zaidi kwa vijana wanao hitimu. Vyuo kama ATC- arusha, MUST, CoET, DIT ,Ardhi, vinaweza kuisaidia serikali vizuri zaidi kuliko hata makampuni binafsi .
Ni wakati sasa serikali kujenga uwezo wa ndani hasa katika uhandisi wa miundo mbinu kama madaraja , flyovers, barabara , tunnels, viwanja vya ndege, etc.
Pia kuyasaidia makampuni kama haya kupata tenda nje ya Tanzania kama China inavyo Fanya kama njia mojawpo ya kujenga uwezo lakini pia kukuza uchumi.
TECU hongereni kwa kazi nzuri.