Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

Kwa

style ile ile ya kuingia ofisini kujibu email na kupigishana story kunahitaji uzoefu wa miaka 1O kweli?
Eti uzoefu , uzoefu my black ass , utadhani kuna cha maana wanachofanya humo kwenye hizo taasisi , tena hizi za serikali ndio kabisaa , umbea na majungu siku nzima .Na siku ikifanyika system re-evaluation and overhaul more than 70 percent ya watumishi WA serikali hawarudishwi kwenye hizo nyadhifa zao .Kwa sababu wanajijua ni viazi that's why they are scared to death of changes .
Serikali igawanye Keki ya taifa Kwa usawa , si sahihi mtu au watu kujimilikisha hizi taasisi na vitengo vya Umma , jitu linafanya kazi miaka 30 ,40 miaka 50 wtf !
Kwamba Hamna watu wengine WA kupata hizi nafasi na kulitumikia taifa ?
 
Mkuu yani ukiacha position za watendaji kama Mafundi na Wahasibu, Waalimu at large 8O% ya watumishi wanachoenda kukifanya ofisini for 8-9 hours unaweza ukashangaa kwanini uliteseka na kusapua miaka yte na msuli mzito.

Yani mtoto wa std 7 anaejua lugha na kompyuta vizuri anaweza fanya vyote kwa maelekezo ya mwezi mmoja tu. Sasa mtu analikuza hapa kwamba kujibu email za outlook ni big deal na kupiga piga simu
 
Mimi siko kazini serikalini nfact ni jobless ila unaonekana unajua upotevu wa ajira unaweza kufanya mtu akaweza kupoteza maisha! Ndicho tunazungumza humu!

Biashara kumkataa graduate ndicho tunachosema humu sio kila mtu ataweza kujiajiri, una million 2 au 7 it doesn't matter, Kuna walioanza na million 2 wakafanya makubwa tu
Nikuulize tu swali nawewe una hakika gani kwamba hao graduates unaotaka tu wapewe mtaji wanaweza ama wana passion na biashara? Kwanini wao walazimishwe kujiajiri bila mitaji wakati wanaweza wakaingizwa kwenye system ya ajira kwa muda.
 
Hujanielewa Mkuu, SOMETHING is better than nothing, Leo uwe empty handed or upewe few scents hautakua na hio passion or whatever you call it?.... 😉 😄 😀 😜 😆.....besides I think tukiwa na his system in place ya kuwapa mitaji ita unlock potential/CREATIVITY YA VIJANA,wataweza kucreate more job opportunities kwa vijana wenzao...LASTLY ukiwapa ama kutaget kuwapa mitaji vijana wachache labda 30% ya vijana, ujue ume unfreeze jobs by 30%... namaanisha ukifanya hivyo nafasi nyingine 30% zinakua available for a grab, mimi naona ni system nzuri mkuu
 
Hizo hela serikali ipi ambayo iko willing kuzitoa?
 
Mbwa akitaka kunyang'anywa mfupa anang'aka.
Hapa watu wanajaribu kutafuta masuluhisho ya ya ukosefu wa ajira wengine wanaponda badala ya kuja na better ideas. Kisa haya mawazo yatagusa ajira zao au za wapendwa wao. Wanasahau kuna waTZ wenzao wamesomesha mmoja tu akomboe familia na analilia hizo ajira.

Binadamu ni selfish creature. kuanzia Cain mpka JF members
 
Sio kusaga rumba! Unapewa miaka 5 ya kulipwa vizuri tu hili wazo nilishakujaga nalo jamaa ameamua kulianzishia uzi pia too good kumbe kuna mtu alikuwa na maono sawa na mimi tu!

Chukulia mfano mtumishi alipwe 5M kila mwezi bila kujali cadre! Kuwe na kiwango fixed kwamba kulingana na uchumi wa sasa we need to pay atleast 5M itampa nafasi ya kila mtumishi kuishi na ku save kiasi flani kila mwezi nje ya pension yake anayokatwa na NSSF! Chukulia mfano una save million kila mwezi tu..after 12 months utakuwa na million 12...after 5 years una million 60! Ukijumlisha na yale makato ya NSSF hamna hamna una 85M hivi kwa hii pesa mtu hajapata pa kuanzia tu?

Ikifika miaka mitano mkataba unaisha unaondoka na mtaji wa kutosha kabisa usiopungua 50M! Utashindwa kujiajiri kweli?
Hii namkumbuka ulishawahi kuleta,ajira ngumu jamani,basi tuachiane nafasi japo kidogo kidogo,Kila mtu away na pakuanzia...
 
katika kazi kama ya udaktari ambayo inahitaji mtu mwenye experience hio idea yako haitakua applicable..

Daktari kafanya kazi miaka mitano anajua magonjwa yote ya watoto, akielezewa tu shida ya mtoto kashapata jibu juu ya nini kinamsumbua mtoto, daktari mwingine ameshazoea kufanya upasuaji bila hofu yoyote, leo hii umfukuze kazi umlete Daktari anayeanza na zero? SIO KWELI.
Yeye alifikaje huko?Kama anaitajika basi itakuwa Kwa kazi maalumu...
 
Hapo Kuna Kitu utasaidia Ila Kuna Mambo Utaharibu Kabisa. Naona Umeangalia Kwa Upande mmoja Kwamba Unawasaidia Wasio na Ajira Pekee

Kumbuka Makazini Kunahitaji Uzoefu Pia Wa Kazi huwezi Kuingiza Watu na Kutoa Tu na Kuweka Wasio na Uzoefu
Wanaotakiwa kuingia kwenye mkataba,wanapewa muda wa kama 7 months kujua majukumu Yao vyema, chini ya uangalizi wa wale wanao maliza muda wao.
 
Mbwa akitaka kunyang'anywa mfupa anang'aka.
Hapa watu wanajaribu kutafuta masuluhisho ya ya ukosefu wa ajira wengine wanaponda badala ya kuja na better ideas. Kisa haya mawazo yatagusa ajira zao au za wapendwa wao. Wanasahau kuna waTZ wenzao wamesomesha mmoja tu akomnoe familia na analilia hizo ajira.

Binadamu ni selfish creature. kuanzia Cain mpka JF members
Acha tu yani kuna raia wanajiwekea shield tu kwa namna yeyote. Mtu hataki yani anavyosikia hizi idea anaumia na kupambana maana anahisi nafasi yake inachukuliwa huku akfikiri wasio na ajira hawastahili kabisa wapambane mtaani tu.😂😂😂
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom