Ushauri kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete

Torero

Senior Member
Dec 22, 2017
122
138
Ndugu,
Napenda kuchukua fursa hii kumshauri Rais Mtaafu wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete Ndani ya Mwaka huu 2019, afanye ziara ya kutembelea Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani na kutembelea wilaya zote kwa lengo la kuwasalimia ndugu Watanzania na atakapotembelea wilaya hadi wilaya apate fursa ya Kuongea na wananchi na kutoa salam.
Hii itasaidia sana kuonesha ya kuwa Rais mstaafu hawatupi watanzania na salam ni jambo jema sana kwa kuzungumza nao katika Maeneo yao. Siyo vyombo vya habari.
Ziara pia zutasaidia kutunza historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awe na bendera ya CCM au bila? Binafsi naunga mkono hoja kwani uchaguzi umekaribia na CCM inahitaji kutumia Wanachama wake wenye ushawishi.
 
Daah!!...nimemkubuka sana Mzee Jakaya Kikwete na kile kicheko chake..
 
Awe na bendera ya CCM au bila? Binafsi naunga mkono hoja kwani uchaguzi umekaribia na CCM inahitaji kutumia Wanachama wake wenye ushawishi.
Hata aje kaning'iniza Taulo sawa tu!..CCM wakati wake ilikuwa na mvuto sio hii inayofanana na Genge la INTERAHAMWE.
 
Ndugu,
Napenda kuchukua fursa hii kumshauri Rais Mtaafu wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete Ndani ya Mwaka huu 2019, afanye ziara ya kutembelea Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani na kutembelea wilaya zote kwa lengo la kuwasalimia ndugu Watanzania na atakapotembelea wilaya hadi wilaya apate fursa ya Kuongea na wananchi na kutoa salam.
Hii itasaidia sana kuonesha ya kuwa Rais mstaafu hawatupi watanzania na salam ni jambo jema sana kwa kuzungumza nao katika Maeneo yao. Siyo vyombo vya habari.
Ziara pia zutasaidia kutunza historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sana kasema hajaribiwi.. na kila mtu siasa afanyie kwake
 
Unataka ashangiliwe kama alivyoshangiliwa Bungeni?
Kisha akirudi Msonga yampate Yale ya Lissu?
Hata kama umetuuzi kuacha chama kwenye mikono michafu hatumuombei ya Lissu Mzee wetu yampate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jakaya-Kikwete.jpg

Ukimuangalia tu,...unauona ubinaadamu ndani yake.
 
Katika Historia ya Nchi yetu Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete ndio Rais pekee ambae wakati anastaafu hakufanya Ziara Mikoani kuaga Kama walivyofanya Mwl Nyerere, Mwinyi Na Mkapa!
Sijawahi kujua Kwanini hakufanya hivyo japo alizunguka Dunia nzima kuaga!
 
Back
Top Bottom