Ushauri kwa Rais Magufuli kuhusu vijembe/mipasho

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Mhe. Rais sisi wananchi tunakupenda sana. Hii nakupa ushauri wa bure unaweza kuukubali au kuukataa.

Kwenye CHEO chako cha URAIS sasa hivi hutakiwi kutoa VIJEMBE/MIPASHO. Rais hatakiwi kusema mipasho ile uliyoyasema jana wewe ni Mkuu wa nchi.

Sisi wananchi tunakupenda sana kutokana na uongozi wako.
 
Mkuu tunamkubali sana,lkn hii haimaniishi kwamba tunakubali kejeli kwa viongozi wengine hata kama wanatoka vyama pinzani.Awaheshimu viongozi wenzake,wakosoane kwa hoja na sio kejeli na kudharauliana...Kinyerezi Jimbo letu madiwani wengi ni UKAWA,lkn tunashirikiana na mbunge wa CCM kwa heshima....
 
kwahyo mnataka kusema sku hz n muimba taarab kama aliepita?? ila n itikadi za chama chao mfano mzur n yule jamaa wa uenezi n muimbaji taarab mzur sana
 
Ndio utaratibu wa chama na wala msihangaishe akili zenu kufikiri sanaa
 
Tumeingiliwa na walumumba
Kuna kijna wa Lumumba kauli zake sio mzuri
Ivi kauli hizo zote sababu unalipwa buku saba?
 
UKAWA kweli wameishiwa pumzi. Hamna agenda za maendeleo za kumshauri Rais? Mara hajui kiingereza, mara aache mipasho na vijembe, mara awaache masela wacheze pool kwa raha zao na mengine lukuki!
 
Mhe. Rais sisi wananchi tunakupenda sana. Hii nakupa ushauri wa bure unaweza kuukubali au kuukataa.

Kwenye CHEO chako cha URAIS sasa hivi hutakiwi kutoa VIJEMBE/MIPASHO. Rais hatakiwi kusema mipasho ile uliyoyasema jana wewe ni Mkuu wa nchi.

Sisi wananchi tunakupenda sana kutokana na uongozi wako.

Wengine hatukusikia kama unaclip tuwekee
 
[quote uid=24288 name="koryo" post=15595878]Mhe. Rais sisi wananchi tunakupenda sana. Hii nakupa ushauri wa bure unaweza kuukubali au kuukataa. Kwenye <b>CHEO </b>chako cha <b>URAIS</b> sasa hivi hutakiwi kutoa <b>VIJEMBE/MIPASHO.</b> Rais hatakiwi kusema mipasho ile uliyoyasema jana wewe ni Mkuu wa nchi. Sisi wananchi tunakupenda sana kutokana na uongozi wako.[/QUOTE]<br />Chunga kauli zako pumbavu weee....


Tatizo nn
 
Hebu mwenye kujua alisema nini atuambie hapa
manake naona watu anakosoa wengine wanapamba lkn kauli halisi aliyoitoa hatujaiona.

nafikiri mtoa mada ungeleta hapa iyo kauli yenye vijembe aliyoitoa halafu tuijadili na si kupamba uzi kwa maneno mengi ilihali alichokisema hakijulikani miongoni mwetu.
 
Back
Top Bottom