Ushauri kwa Rais huenda ukamsaidia

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
376
979
Anaandika KIGOGO2014

Siyo kwamba nakupangia lakini siku 80 za uongozi wako ni loss tupu
Political poralization iliyosababishwa na wewe na Meko ungei difuse kwa kufanya meeting urgent na wapinzani na CSOs ku normalize mambo. CCM wamekukataza na unadhani dola itakulinda 2025 maana hupiti ng,o

Mahusiano ya kimataifa yameharibiwa sana na Meko na mwehu Kabudi
step ya kwanza kutana na mabalozi wote wa nchi za nje wakioko Tanzania normalize mahusiano na signal mabadiliko ya sera ya nje
Ita mabalozi wote walioko nje waambie nini umeongea na mabalizi na nini sera yako

Kaa na baraza lako come out with your vision between now and 2025 Wape KPIs na nini unataka waachieve. Siyo kila siku Ummy fanya kile ,Ummy shoga angu njoo tuna jambo letu Dodoma. Unafanya hivi kwa kuwa huna vision kama Rais upo upo tu unafanya mambo in ad hoc fashion

Leo umeagiza kila mkoa ujenge shule za bweni ili washichana wasome teknolojia - UONGO MTUPU YAANI. How possible is that? Yaani wasome wasichana tupu kwa kuwa wavulana tayari wanajua? Haya mambo unaropoka kwa sababu huna vision na hauko realist na mifano yako ya mjukuu sijui
Kanirekebishia simu ..Yaani uongo mtupu

Maliza haya mambo ya msingi kwanza then ndo kaa anza kupiga porojo na hao wazee wa Dar ,sijui wanawake ,sijui vijana..

This country need someone with VISION siyo mtu wa kupiga piga blah blah. Una miaka 2 tu ya kufanya kazi effectively

2023 onwardly hakuna kazi utafanya maana tunaanza kujindaa na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 then miezi 16 inayofuata ni uchaguzi mkuu ambao utakutoa jasho kweli kweli kwa kuwa ndani ya chama chako tu hawakutaki. Huku nje unajua mwenyewe malolosa unayoyafanya na CCM wenzako
 
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini 🤔😡? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono😡! RIEP our hero 💔 Dr. JPM, our lovely president🙏!
 
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini 🤔😡? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono😡!
 
Jinga sana ,utakufa kibudu na siku umekufa utarundikwa mchanga mwingi sana
 
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini 🤔😡? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono😡! RIEP our hero 💔 Dr. JPM, our lovely president🙏!

Uandishi na mawazo vinaendana kabisa, mkuu. Hongera sana.
 
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini ? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono!
Unafikili kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ng'ombe ??

Yule aliongoza wananchi kwa fimbo as if wananchi ni ng'ombe ...

You cant win in this life ,kwa kutumia nguvu ..

Nchi inaongozwa na busara na akili ...

Na akija raisi mwingine tahila off you go ,hawezi kukaa na kuongoza nchi kwa mihemko ya hasira na nguvu...
 
Kuna ukweli ndani yake. Vision ni muhimu. Mfano hiyo ya wasichana kusoma teknolojia alimaanisha wavulana wameshasoma?

Benki ya wanawake iliwashinda wakaiunganisha na benki ya Posta,leo inafanya vizuri wanataka waitenganishe tena ili kufurahisha wanawake. Hizi ni akili au matope?

Mtu amekufa hospitali ya serikali anapewa bili ya milioni 6 tena anatakiwa alipe deni, eti wekeni utaratibu wa kudai, hivi ni utu kweli?

Mmeshindwa kumtibu hadi akafa tena mnadai maiti hela? Eti ndugu wachangishane!

Tuwe na huruma, maiti zisidaiwe hela kwenye hospitali za serikali.
 
Mbeba maono ya kuua na kuteka wee ni fundege kweli
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini ? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono! RIEP our hero Dr. JPM, our lovely president!
 
Angalau mnafuatilia hata amesemaje, amesemea wapi.

Nisipoingia JF, sijui chochote kuhusu hii nchi na mwendo wake.
 
Huyu njemba (kigogo) inasemekana kwamba hana uwezo tena wa kuzipata nyeti za sirikali,utawala mpya umebadilisha VPN zote,wamemdhibiti kisawasawa sasa hivi anaishia kutoka lawama ambazo haina kichwa wala miguu,nakumbuka usemi wa kiingereza unaosema "you can't be a hero all the time"
 
Unaweza kuwa umeongea point lakin sasa hukupaswa kutumia lugha hii kwa kiongoz wako
hiyo kaur chamtoto em jarbu siku kuingia ktk Jamuhuri ya twitter na viunga vyake, ukasome post za akina kigogo,,asee kule n hatar matus matus,hawajar nan wala nan kasema,,hao viongoz wanatukanwa kama watotyo
Screenshot_2021-06-08_225355.jpg
 
Mmemuindoa mbeba maono JPM mlitegemea nini ? Huyu aliyepo ni makamu wa rais, rais hayupo wa kweli hayupo, huyu ni kivuli tu! Yale makarateka ya kukesha kwa ajili ya nchi aliyofanya Magu huyu mama hayawezi na hata yaweza! Tunahesabu maumivu tu Tz kwa kutomlinda mbeba maono! RIEP our hero Dr. JPM, our lovely president!
Jpm ni mbeba,maono!?? Utachekwa hata na kuku??
 
Huyu njemba (kigogo) inasemekana kwamba hana uwezo tena wa kuzipata nyeti za sirikali,utawala mpya umebadilisha VPN zote,wamemdhibiti kisawasawa sasa hivi anaishia kutoka lawama ambazo haina kichwa wala miguu,nakumbuka usemi wa kiingereza unaosema "you can't be a hero all the time"
Kigogo ni zaidi ya Tiiiiiiiii biiiiiii siiiiiiiiii
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom