Ushauri kwa Nape Nnauye

Nyie waoga tu Nape aachwe kwenye fungate la bao la mkono. Hakuna mpenda sifa na mnafiki wa kisiasa ambaye amewakanyaga wengine kichwani kwa kutumwa na went chuki dhidi ya wanasiasa wengine ambaye mambo yatamuendea salama. Wengi wataharibikiwa hadi waijue kweli bado yule wakigoma ndiyo kapoteza mwelekeo moja kwa moja.
 
Amalinze nakufahamu kwa kuwa umetoka kwetu lazima useme uongo
Kwa kweli mimi nimefungua biashara ya ndoto yangu kipindi hiki. Inaenda vizuri sana, mnaolalamika biashara zimekufa nawashangaa. Sina uzoefu wowote wa biashara lakini ipo vizuri mno. nalipa kodi zote za serikali, nafuata maelekezo yote ya serikali na mambo yanaenda vizuri tu. Wanaolia lia sijui walikuwa wanafanyaje biashara zao????
 
Acha hizo huyu jamaa yako anaua biashara zetu huku mtaani alafu anependa kusifiwa sana na hapendi kukosolewa.

Mwambie ajifunze diplomasia ubabe ni zilipendwa za karine iliyopita hao anaowaiga ni mabaki ya karine iliyopita
Umeshitaki polisi kwa kosa la kuua?
 
Umeongea vitu vingi lakini hauwezi jua kwa nini nape kapanic...Ulimsikia alivyosema? Alikuwa porini miezi 28 kukirudisha chama wakati wewe ulikuwa unakunywa bia baa, utasema alikuwa analipwa mshahara lakini kwanini walimchagua yeye na kinana? Kwa sababu alikuwa anaweza! Ukipigania chama lazima uone juhudi Zako zikithaminiwa.

Ni kweli hakuna sehemu ambapo ukienda utaokota hela barabarani ni lazima ufight, je kuna mazingira mazuri katika huo utafutaji? Umefanya tathmini kujua biashara ngapi zimekufa tangia JPM aingie madarakani? Umejiuliza kampuni ngapi zimefungwa na zilizopo ngapi zimepunguza wafanyakazi? Kama lengo ni kuondoa pesa chafu kwenye mzunguko ,bado tu hazijaondoka miaka miwili?
Hiki chama hakikuasisiwa porini..ye ndiye alisababisha chama kiingie porini..alikuwa anapambana na uharibifu aliosababisha
 
Nape ameumia kuenguliwa kwenye cabinet kuliko alivyoumia alipokufa baba yake
 
Umeongea vitu vingi lakini hauwezi jua kwa nini nape kapanic...Ulimsikia alivyosema? Alikuwa porini miezi 28 kukirudisha chama wakati wewe ulikuwa unakunywa bia baa, utasema alikuwa analipwa mshahara lakini kwanini walimchagua yeye na kinana? Kwa sababu alikuwa anaweza! Ukipigania chama lazima uone juhudi Zako zikithaminiwa.

Ni kweli hakuna sehemu ambapo ukienda utaokota hela barabarani ni lazima ufight, je kuna mazingira mazuri katika huo utafutaji? Umefanya tathmini kujua biashara ngapi zimekufa tangia JPM aingie madarakani? Umejiuliza kampuni ngapi zimefungwa na zilizopo ngapi zimepunguza wafanyakazi? Kama lengo ni kuondoa pesa chafu kwenye mzunguko ,bado tu hazijaondoka miaka miwili?
Na wewe unajua ktk hiyo miezi 28 Nape anayodai alikuwa porini kukirudisha chama ni watu wangapi walijikuta wakipoteza nyadhifa na ajira zao ndani ya chama na hata serikali kwa fitna za Nape? Karma at work.
 
Hivi mleta mada jamaa aliahidi kufunga wezi wa mali ya uma na ujenzi wa viwanda, mbona ni sufuri? Unavyoviona vilivyopo aliviacha kikwete
 
Umeongea vitu vingi lakini hauwezi jua kwa nini nape kapanic...Ulimsikia alivyosema? Alikuwa porini miezi 28 kukirudisha chama wakati wewe ulikuwa unakunywa bia baa, utasema alikuwa analipwa mshahara lakini kwanini walimchagua yeye na kinana? Kwa sababu alikuwa anaweza! Ukipigania chama lazima uone juhudi Zako zikithaminiwa.

Ni kweli hakuna sehemu ambapo ukienda utaokota hela barabarani ni lazima ufight, je kuna mazingira mazuri katika huo utafutaji? Umefanya tathmini kujua biashara ngapi zimekufa tangia JPM aingie madarakani? Umejiuliza kampuni ngapi zimefungwa na zilizopo ngapi zimepunguza wafanyakazi? Kama lengo ni kuondoa pesa chafu kwenye mzunguko ,bado tu hazijaondoka miaka miwili?

Anza wewe kutoa takwimu kampuni ngapi zimefungwa na ngapi zimepunguza wafanyakazi halafu toa takwimu makampuni mangapi yameanzishwa chini ya uongozi wa JPM....pambana acha kulalama
 
Acha hizo huyu jamaa yako anaua biashara zetu huku mtaani alafu anependa kusifiwa sana na hapendi kukosolewa.

Mwambie ajifunze diplomasia ubabe ni zilipendwa za karine iliyopita hao anaowaiga ni mabaki ya karine iliyopita

Alikuja kuchukua bidhaa dukani bila kulipa mkuu??
 
Hivi nyie ambao kila wakati mnasema Nape ame-panic kisa uwaziri... hivi huyu Nape kweli mnamfahamu vizuri au mmemjua baada ya kuwa Waziri au zamani sana baada ya kuwa Katibu Mwenezi wa CCM?!!

Nape tangu miaka na miaka, hajawahi kuwa mtu wa kuogopa kusema anachokiamini!!! Kama ni utukutu, Nape kaanza "utukutu" tangu zamani na ndio maana hata wazee wa CCM walimwekea zengwe asiwe Mwenyekiti wa UVCCM!!!

Na hata huo uwaziri mnaosema, kama ingekuwa ni mtu wa kutaka uwaziri, wala asingemchokonoa mtoto wa kambo wa rais wa nchi!!! Nape alimchokonoa Bashite huku akifahamu wazi nini kingempata!!! Ikumbukwe kwamba, wakati Nape anatangaza kwamba angeunda tume ya kumchunguza Bashite, saa kadhaa baadae rais akautangazia umma ni namna gani anavyomkubali Bashite!!!

Kama huo uwaziri mnaosema ungekuwa ni big issue kwa Nape basi kauli hiyo ya rais ilitosha kabisa kumfanya Nape aache kuendelea na suala la kuunda tume dhidi ya Bashite!! Hata hivyo, bado Nape aliunda timu ya kuchunguza suala la Clouds pamoja na sifa zote ambazo rais alikuwa amezimwaga saa chache kwa Bashite!!!

Nape Amepanic! Alihisi amepewa hisa kwenye chama.
 
Kijana nape ktk siasa ni kuvumiliana. We piga kazi tulia kila zama na mambo yake keep cool maisha ni upepo hutakiwa kuwa na haraka sana. Kila mtu hapa duniani mungu anampangia chake.....you do not need to panic.

U never know unaweza ukaitwa tena ndani ya baraza.....mfano mzuri Malima tumeona utulivu wake umemfanya arudi serikalini tena. Siasa bhana kama upo kwenye siasa mtaji wako ni kuvumilia. Nakumbuka enz za mwinyi kuna watu walipotea kwenye siasa harafu wakaibuka kwa Mkapa.

Kinachotakiwa ni kupigania jimbo lako lipate maendeleo that s all mengine ni mipango ya mungu na kuzijua siasa za Tanzania na Afrika.
Kila zama na mambo yake!!!!!

Enzi za JK kuna watu walikuwa wanatapika nyongo ili jk afeli lakini leo hao hao tena wanamkumbuka JK nafikiri jk huwa anacheka sana aliko. Siku JPM akiondoka naye hawa hawa watz wa kawaida wanaopiga kelele wataanza tena kutolea mifano.

Siasa zetu zinahtaji uvumilivu na kupigania jimbo lako kama mbunge. Siasa zina mambo yake ukiwa nje utakosoa kila kitu ila ukiiingia ndio hivyo tena......mfano mzuri ODINGA amekuwa waziri mkuu ndani ya serikali ya Kibaki but alifanya nini???? Kitu kirahisi duniani kukosoa

Kama watz let JPM atupe akili kidogo za maisha kupambana na maisha though JK alifanya mambo yake mazuri. Ukitembea nchi za wenzetu maisha sio rahisi kama yalivyo bongo wazeee tuwe wakweli. Bongo maisha rahisi sana ndio maana tunalialia sana...tembea south afrika njoo huku western africa, njoo hapa kenya maisha ni very tough ili vijana wanapambana na maisha yalivyo....na hii ndio maana watu akili zao zinafanya kazi.

Tuache kutegemea mishahara tu ule muda unaopewa na serikali hasa walioko serikalini kutoka kazini saa tisa, utumie kufanya other issues kupitia ujuzi wako....fuga hata bata, lima hata mboga mboga kwa mwezi uza utapata hela......
Baba JPM kazi boot usilegeze ili akili zetu watz zifunguke.....

siku moja nilienda mza kikazi nikafikia hotel moja KAPUNI(sheria za mitandao nazitii) nikawambiaa nitatoka asbh so nitahtaj breakfast....wakanikubalia naamka alfajiri watu wamelala tu.....wananiambia mbona asbh sana. Hii ndio tatizo kama taifa.

Wasalaam.

Mkuu, Nimeokotapo tuvitu tuwili kwenye andiko lako!

1. Kitu rahisi zaidi duniani ni kukosoa
2. Maisha ya Tanzania ni mazuri sana..that is why tunapata muda wa kulalama badala ya kuchakarika.
 
Back
Top Bottom