Ushauri kwa Nape Nnauye


B

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Messages
283
Likes
155
Points
60
B

bulabo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2015
283 155 60
Kijana nape ktk siasa ni kuvumiliana. We piga kazi tulia kila zama na mambo yake keep cool maisha ni upepo hutakiwa kuwa na haraka sana. Kila mtu hapa duniani mungu anampangia chake.....you do not need to panic.

U never know unaweza ukaitwa tena ndani ya baraza.....mfano mzuri Malima tumeona utulivu wake umemfanya arudi serikalini tena. Siasa bhana kama upo kwenye siasa mtaji wako ni kuvumilia. Nakumbuka enz za mwinyi kuna watu walipotea kwenye siasa harafu wakaibuka kwa Mkapa.

Kinachotakiwa ni kupigania jimbo lako lipate maendeleo that s all mengine ni mipango ya mungu na kuzijua siasa za Tanzania na Afrika.
Kila zama na mambo yake!!!!!

Enzi za JK kuna watu walikuwa wanatapika nyongo ili jk afeli lakini leo hao hao tena wanamkumbuka JK nafikiri jk huwa anacheka sana aliko. Siku JPM akiondoka naye hawa hawa watz wa kawaida wanaopiga kelele wataanza tena kutolea mifano.

Siasa zetu zinahtaji uvumilivu na kupigania jimbo lako kama mbunge. Siasa zina mambo yake ukiwa nje utakosoa kila kitu ila ukiiingia ndio hivyo tena......mfano mzuri ODINGA amekuwa waziri mkuu ndani ya serikali ya Kibaki but alifanya nini???? Kitu kirahisi duniani kukosoa

Kama watz let JPM atupe akili kidogo za maisha kupambana na maisha though JK alifanya mambo yake mazuri. Ukitembea nchi za wenzetu maisha sio rahisi kama yalivyo bongo wazeee tuwe wakweli. Bongo maisha rahisi sana ndio maana tunalialia sana...tembea south afrika njoo huku western africa, njoo hapa kenya maisha ni very tough ili vijana wanapambana na maisha yalivyo....na hii ndio maana watu akili zao zinafanya kazi.

Tuache kutegemea mishahara tu ule muda unaopewa na serikali hasa walioko serikalini kutoka kazini saa tisa, utumie kufanya other issues kupitia ujuzi wako....fuga hata bata, lima hata mboga mboga kwa mwezi uza utapata hela......
Baba JPM kazi boot usilegeze ili akili zetu watz zifunguke.....

siku moja nilienda mza kikazi nikafikia hotel moja KAPUNI(sheria za mitandao nazitii) nikawambiaa nitatoka asbh so nitahtaj breakfast....wakanikubalia naamka alfajiri watu wamelala tu.....wananiambia mbona asbh sana. Hii ndio tatizo kama taifa.

Wasalaam.
 
K

Kinjeketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Messages
224
Likes
215
Points
60
K

Kinjeketile

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2013
224 215 60
Acha hizo huyu jamaa yako anaua biashara zetu huku mtaani alafu anependa kusifiwa sana na hapendi kukosolewa.

Mwambie ajifunze diplomasia ubabe ni zilipendwa za karine iliyopita hao anaowaiga ni mabaki ya karine iliyopita
 
B

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Messages
283
Likes
155
Points
60
B

bulabo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2015
283 155 60
Acha hizo huyu jamaa yako anaua biashara zetu huku mtaani alafu anependa kusifiwa sana na hapendi kukosolewa.

Mwambie ajifunze diplomasia ubabe ni zilipendwa za karine iliyopita hao anaowaiga ni mabaki ya karine iliyopita
Pole mkuu. Taratibu mambo yatakawa sawa. Tupigane kupambana usikate tamaa na kazi yako....inayokupa chakula
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,506
Likes
4,879
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,506 4,879 280
siasa ni uvumilivu, na hasa unapopambananna bosi wako, au aliyekuwa bosi wako

adui zako wanatunga story sana pale unapoongea sana

kwa mfano, Nape alipokuwa anaeleza hisia na malamiko yake, wapo waliosema alikuwa na mazungumzo na lowassa na Membe, kwani siku zile walisemekena walikuwa wakipatanishwa, so hata kama Nape alikuwa hausiki au hajui chochote watu wanaingizia story ringing kukumaliza....why? kwa sababu ulisema jambo
 
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
6,723
Likes
3,538
Points
280
Amalinze

Amalinze

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
6,723 3,538 280
Umeongea vitu vingi lakini hauwezi jua kwa nini nape kapanic...Ulimsikia alivyosema? Alikuwa porini miezi 28 kukirudisha chama wakati wewe ulikuwa unakunywa bia baa, utasema alikuwa analipwa mshahara lakini kwanini walimchagua yeye na kinana? Kwa sababu alikuwa anaweza! Ukipigania chama lazima uone juhudi Zako zikithaminiwa.

Ni kweli hakuna sehemu ambapo ukienda utaokota hela barabarani ni lazima ufight, je kuna mazingira mazuri katika huo utafutaji? Umefanya tathmini kujua biashara ngapi zimekufa tangia JPM aingie madarakani? Umejiuliza kampuni ngapi zimefungwa na zilizopo ngapi zimepunguza wafanyakazi? Kama lengo ni kuondoa pesa chafu kwenye mzunguko ,bado tu hazijaondoka miaka miwili?
 
KANYAMA

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,544
Likes
1,018
Points
280
KANYAMA

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,544 1,018 280
Acha hizo huyu jamaa yako anaua biashara zetu huku mtaani alafu anependa kusifiwa sana na hapendi kukosolewa.

Mwambie ajifunze diplomasia ubabe ni zilipendwa za karine iliyopita hao anaowaiga ni mabaki ya karine iliyopita
Hebu tudokezee viongozi kwenye KARINE hii aliyeleta uhai kwenye biashara za wananchi wake bila kulipisha kodi
 
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
4,789
Likes
3,014
Points
280
Age
42
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
4,789 3,014 280
Umeandika kitu flani kizuri
Kina uzuri gani? Kututusi eti akili zetu zimejifunga ni sahihi? Labda zako na za mleta hoja ndio zihitaji kufunguliwa lakini kwa waelewa zilijifungua mapema kabla ya ujio wa haya maigizo na kudanganyana!
Nape hahitaji huruma zenu na haishi kwa vyeo vya kupewa. Ana haki ya kusema lolote ili mradi hafunji katiba kama hao wengine wanaokiuka sheria waziwazi kisha kutunukiwa cheo kama zawadi!
 
Ki Mun

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Messages
3,450
Likes
3,980
Points
280
Ki Mun

Ki Mun

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2014
3,450 3,980 280
Kijana nape ktk siasa ni kuvumiliana. We piga kazi tulia kila zama na mambo yake keep cool maisha ni upepo hutakiwa kuwa na haraka sana. Kila mtu hapa duniani mungu anampangia chake.....you do not need to panic. U never know unaweza ukaitwa tena ndani ya baraza.....mfano mzuri Malima tumeona utulivu wake umemfanya arudi serikalini tena. Siasa bhana kama upo kwenye siasa mtaji wako ni kuvumilia. Nakumbuka enz za mwinyi kuna watu walipotea kwenye siasa harafu wakaibuka kwa Mkapa. Kinachotakiwa ni kupigania jimbo lako lipate maendeleo that s all mengine ni mipango ya mungu na kuzijua siasa za Tanzania na Afrika.
Kila zama na mambo yake!!!!! Enzi za JK kuna watu walikuwa wanatapika nyongo ili jk afeli lakini leo hao hao tena wanamkumbuka JK nafikiri jk huwa anacheka sana aliko. Siku JPM akiondoka naye hawa hawa watz wa kawaida wanaopiga kelele wataanza tena kutolea mifano. Siasa zetu zinahtaji uvumilivu na kupigania jimbo lako kama mbunge. Siasa zina mambo yake ukiwa nje utakosoa kila kitu ila ukiiingia ndio hivyo tena......mfano mzuri ODINGA amekuwa waziri mkuu ndani ya serikali ya Kibaki but alifanya nini???? Kitu kirahisi duniani kukosoa

Kama watz let JPM atupe akili kidogo za maisha kupambana na maisha though JK alifanya mambo yake mazuri. Ukitembea nchi za wenzetu maisha sio rahisi kama yalivyo bongo wazeee tuwe wakweli. Bongo maisha rahisi sana ndio maana tunalialia sana...tembea south afrika njoo huku western africa, njoo hapa kenya maisha ni very tough ili vijana wanapambana na maisha yalivyo....na hii ndio maana watu akili zao zinafanya kazi. Tuache kutegemea mishahara tu ule muda unaopewa na serikali hasa walioko serikalini kutoka kazini saa tisa, utumie kufanya other issues kupitia ujuzi wako....fuga hata bata, lima hata mboga mboga kwa mwezi uza utapata hela......
Baba JPM kazi boot usilegeze ili akili zetu watz zifunguke.....siku moja nilienda mza kikazi nikafikia hotel moja KAPUNI(sheria za mitandao nazitii) nikawambiaa nitatoka asbh so nitahtaj breakfast....wakanikubalia naamka alfajiri watu wamelala tu.....wananiambia mbona asbh sana. Hii ndio tatizo kama taifa.

Wasalaam.
Avumilie Ujinga? Tatizo nyie mafisiemu mnaamini siasa ni kujaza tumbo na wala siyo kuwajibika kwa jamii pana, shame on you!
 
S

Sambidundahk

Senior Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
102
Likes
49
Points
45
S

Sambidundahk

Senior Member
Joined Aug 30, 2017
102 49 45
Namuhurumia sana nape. Amepaniki sana kutimuliwa uwazili. Amezoea porojo na alijua yeye ni Mungu mtu pale Lumumba. Sasa yamemtokea puani anaweweseka. Namshauri atulie akifanya mchezo hata huo ubunge ataukosa 2020. Pombe hataki mchezo.
 
S

Sambidundahk

Senior Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
102
Likes
49
Points
45
S

Sambidundahk

Senior Member
Joined Aug 30, 2017
102 49 45
Kina uzuri gani? Kututusi eti akili zetu zimejifunga ni sahihi? Labda zako na za mleta hoja ndio zihitaji kufunguliwa lakini kwa waelewa zilijifungua mapema kabla ya ujio wa haya maigizo na kudanganyana!
Nape hahitaji huruma zenu na haishi kwa vyeo vya kupewa. Ana haki ya kusema lolote ili mradi hafunji katiba kama hao wengine wanaokiuka sheria waziwazi kisha kutunukiwa cheo kama zawadi!
Sasa ni uongo? Au unajitoa ufaham kuwa hujui hilo?
 
C

chige

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
8,059
Likes
15,250
Points
280
C

chige

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
8,059 15,250 280
Hivi nyie ambao kila wakati mnasema Nape ame-panic kisa uwaziri... hivi huyu Nape kweli mnamfahamu vizuri au mmemjua baada ya kuwa Waziri au zamani sana baada ya kuwa Katibu Mwenezi wa CCM?!!

Nape tangu miaka na miaka, hajawahi kuwa mtu wa kuogopa kusema anachokiamini!!! Kama ni utukutu, Nape kaanza "utukutu" tangu zamani na ndio maana hata wazee wa CCM walimwekea zengwe asiwe Mwenyekiti wa UVCCM!!!

Na hata huo uwaziri mnaosema, kama ingekuwa ni mtu wa kutaka uwaziri, wala asingemchokonoa mtoto wa kambo wa rais wa nchi!!! Nape alimchokonoa Bashite huku akifahamu wazi nini kingempata!!! Ikumbukwe kwamba, wakati Nape anatangaza kwamba angeunda tume ya kumchunguza Bashite, saa kadhaa baadae rais akautangazia umma ni namna gani anavyomkubali Bashite!!!

Kama huo uwaziri mnaosema ungekuwa ni big issue kwa Nape basi kauli hiyo ya rais ilitosha kabisa kumfanya Nape aache kuendelea na suala la kuunda tume dhidi ya Bashite!! Hata hivyo, bado Nape aliunda timu ya kuchunguza suala la Clouds pamoja na sifa zote ambazo rais alikuwa amezimwaga saa chache kwa Bashite!!!
 
K

Kinjeketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Messages
224
Likes
215
Points
60
K

Kinjeketile

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2013
224 215 60
Hebu tudokezee viongozi kwenye KARINE hii aliyeleta uhai kwenye biashara za wananchi wake bila kulipisha kodi

Acha uzuzu wewe sasa kama anaua biashara zetu hizo Kodi atakusanya wapi?? Kodi inakusanywa kutoka kwenye biashara iliyozaa faida
 
KANYAMA

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
1,544
Likes
1,018
Points
280
KANYAMA

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
1,544 1,018 280
Acha uzuzu wewe sasa kama anaua biashara zetu hizo Kodi atakusanya wapi?? Kodi inakusanywa kutoka kwenye biashara iliyozaa faida
Kama Biashara nyingine haitoi faida basi tumia ile ya kiliberali..maana hamna namna.
 
D

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Messages
1,346
Likes
727
Points
280
D

Daisam

JF-Expert Member
Joined May 23, 2016
1,346 727 280
Kwa hakika nimekukubali ghafla. Watanzania tunatakiwa kubadili MINDSET zetu.
Unapokuwa shuleni, ukiona mwalimu wako ni mkali sana, unatakiwa kubadilika ili kuweza kuendana naye. Suluhu yake si kumlaumu tu yule mwalimu, kwani kubaki unamlaumu huyo mwalimu utajitesa tu mwenyewe bila yeye kupata shida yoyote.

Napata shida kidogo ninapoona hata wanasiasa wanashindwa kuhimili vishindo vya Magufuli hata kidogo tu.

Nakupongeza sana mleta mada. Watanzania tunakiwa kujishughulisha na kuwa wabunifu. Tuache kulalamika.
 

Forum statistics

Threads 1,236,577
Members 475,206
Posts 29,262,919