ushauri kwa mwanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri kwa mwanafunzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Haika, Sep 12, 2008.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  naomba ushauri kwa ajili ya mwanafunzi huyu.
  Emefeli somo moja maarufu kwa kufelisha wanafunzi hapo chuoni kwao.
  Mwalimu/ lecturer, amewaambia darasani kuwa atafanya tuituion kwa wale wenye kuhitaji, na maswali ya Sapu yatatoka maeneo hayo atakayofundisha.
  Tution hiyo, kwa siku tano ada ni laki moja.
  Sasa anajiuliza aende au asiende?
  Je ni halali au si halali?
  Atakuwa amevunja sheria, je mwalimu ana makosa?
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,447
  Likes Received: 7,187
  Trophy Points: 280
  inavyoelekea watakaoenda tuition ndo watafaulu! hii nayo kali tuition chuo???Huyu mwalimu anapenda sana pesa yaani anakosea sana kashindwa kujitolea na kuwafundisha wanafunzi bure?kwa nini asishitakiwe kwa head if not kwa Dean!
   
 3. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Inategemea anataka elimu au Cheti? Kama anataka cheti aende kwani kama alishaambiwa kwa hiyo tuition na maswali ya sapu yatatoka humo ina maana ameshaonyeshwa mtihani...kama anataka elimu asiende!!!!!!!! Kuelimika sio kufaulu mtihani tu!!!
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ninajua anataka elimu, cheti pia ni muhimu.
  Huyu mtu mzima ambaye anasoma masomo ya jioni, anajua maana ya cheti na maana ya elimu, cheti kinasubiriwa ofisini!
   
 5. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haika,
  Unaweza ukatutajia hicho chuo. Tusije tukatoa gross judgements bure. Ila kama ni UDSM, hilo ni kosa kubwa kwa mwalimu kuanza kufanya biashara ndani ya chuo na anastahili kushitakiwa kwa uongozi wa chuo.
  Anachotakiwa huyo mwalimu ni kumweleza Kijana alipokosea na tatizo lake lilikuwa wapi katika huo mtihani.
   
 6. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Haika mwambie aende tu kama anataka kugraduate!!! Elimu ya kibongo nnaifahamu vizuri
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Aende maana huyo mwalim ni mbabe .
   
 8. P

  Prince Member

  #8
  Sep 12, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii si halali kabisa na unheard of. Akitaka kushitaki lazima awe na ushahidi kabambe kwa mfano amrekodi wakati akinadi sera zake za tuition vinginevyo atamruka na atashindwa kuthibitisha madai yake. Anaweza kutumia hata simu yake kama ina recording facility. Ni muhimu kukopmesha ufisadi huu
   
 9. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  "Who can afford to run will run," Buju cries out in "Untold Stories". "But what about those who can't? They will have to stay."
   
 10. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pundit,

  Huyu hapa anamudu kukimbia na akiamua anaweza abaki. Anajiuliza afanyeje. Wewe umezingatia kwa asieweza kukimbia. Huyu hapa wewe na Buju mnamshauri akimbie, abaki?
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Anaweza kufanya hatua 2 ambazo zina timeframe tofauti:

  1. Kuhakikisha anapata 'cheti' (kama wadau wengine walivyoitofautisha na elimu)!. Hii solution ambayo ni short-term kwa msingi kwamba haitaathiri activities nyingine ambazo 'cheti' ni determinant. Hapo ni suala la kuangalia critical path..

  2. Anaweza kupanga vilevile hatua ambazo ni long-term ili kuhakikisha lecturer husika anawajibishwa ili kuiepusha jamii na aina hii ya rushwa for good. Anaweza kushauriana na mshauri wake wa kitaalauma (kama yupo) au lecturer mwingine anayeaminika ili apate a-z ya jinsi gani kuiweka case yake i-sound na iwe na basis ambazo hazina utata.

  Wasaalam
   
  Last edited by a moderator: Sep 13, 2008
Loading...