Ushauri Kwa Mheshimiwa Rais JPJ Magufuli

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
855
1,000
Mheshimiwa Rais kwanza pole kwa majukumu mazito ya kuinyoosha nchi. Kazi unayoifanya ni Mungu tu atakuja kukulipa. Kipekee ninakupongeza kwa uimara wako wa kuyazuia manyang'au yasiendelee kupora rasilimali zetu hasa madini. Hongera sana tena sana.

Pamoja na jitihada hizo nzuri Mheshimiwa Rais, bado tuna changamoto ya raia feki kujipenyeza kwenye system zetu za setikali. Bila kumung'unya maneno, WATUTSI na WAKENYA wamejipenyeza sana kwenye vyombo vya dola na kwenye Idara zingine nyeti za serikali.

Kiukweli mheshimiwa Rais jitihada zako za kuilinda nchi zinaweza zisizae matunda kutokana na sabotage za watu hao. Ukumbuke kuwa nchi yetu ni tajiri kama ambavyo umekuwa ukisema na kwamba kwa utajiri huo tumejijengea maadaui wanaotafuta the softest way ya kupenetrate ili watutawale na kunufaika na rasilimali hizo. Wanajua kwasasa kutuvamia kijeshi si rahisi kwani tutawakung'uta tu!. Wanaapply means of careful and systematic penetration ili mwisho wa siku wawe wao kila mahali na hivyo watutawale kirahisi.

Mheshimiwa Rais umefanya vizuri sana kwenye uhakiki wa watumishi, ninakushauri fanya uhakiki wa uraia kwenye utumishi wa umma hasa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Nashauri Uhakiki huo usifanywe na mtu mwingine yeyote bali timu maalum ya watu waaminifu utakayoiunda mwenyewe. Timu hiyo iagize wakuu wa Idara na taasisi za serikali kuwasilisha kwa timu hiyo detailed CVs za watumishi wote zenye picha za wahusika kwaajili ya intensive security vetting.

Mheshimiwa hali kwenye maofisi si shwari ni vema tukatake action mapema kabla hatujazidiwa maarifa.
Note. Ni vema tujifunze yaliyotokea Urusi miaka hiyo na "yanayodaiwa" kuwa yametokea Amerika kwenye last general election.

Ni hayo tu Mheshimiwa Rais
 

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
855
1,000
Najua sasa hivi uko Dodoma na tayari mizigo inagonga boxer!. Tulia ushughulikiwe tumeshawastukia nyie
 

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,147
2,000
Hakika Mheshimiwa Rais Magufuli hili lifanyie kazzi, ni ukweli dhahiri.
Otherwise na wewe ni sehemu ya watuhumiwa.
Natarajia utekelezaji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom