Ushauri Kwa Mawazi was Magufuli na Magufuli mwenyewe

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Naomba mkae chini mpangilie utendaji wa serikali,

Kuwe na mipango sio uvamizi was kila mwenye cheo kuagiza alichokiwaza,

Kuwe na miongozo ya itendaji,

MKUU wa mkoa afanye na katibu afanye nini, sio kila MTENDAJI. Ana yake.
 
Back
Top Bottom