Ushauri kwa mamlaka za uteuzi.

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
265
107
Napenda kushauri kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam jina silifahamu apewe uongozi wa juu zaid kwa sababu moja kuu..

Amekuwa akishughulika na mambo makubwa zaidi ya cheo chake kwa maana yanayovuka ukomo mfano kushughulika na madawa ya kulevya,kukataza simena za nje,kutangaza ujio wa wageni wa mataifa ya nje.

Hivyo ni wakati sasa akapewa nafasi nyeti itakayompatia uwezo wa kushughulika na mambo makubwa kama hayo.

Ni ushauri tu wangu binafsi.
 
Daudi Bashite ni kituko km unampenda muozeshe dada yako ukae nae.Dar hatuwezi kuongozwa na KILAZA
 
Back
Top Bottom