Ushauri kwa mwanaume wa miaka 35

Muhubiri 11:7-9
Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako. Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.
 
AMEN. Asante sana. What the Blessing.
 
Angalia maisha yako.

Sio kila mwanamke unaempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.

Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.

Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.

Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima
Hapa kwa minyege wengine ndio tunafeli maana tunaishia kizika mihela kwenye papuchi
 
Hii Mzee baba inakuwaje? Mfano ukiweka asilimia kama 20 tu yamapato kwa shughuli hii. Inaweza uwa sehemu ya matumizi ?
 
Katika waliotoa ushauri unaweza kuta wengine ni chini ya Miaka 35. Which is very Okay. And wale walio kuanzia 45+ Mpo humu? mnasemaje nyie pia?
 
1. Oa
2. Wekeza hata kwa kiasi kidogo
3. Jitume kwenye kila kazi ufanyayo
4. Acha anasa
5. Starehe kiasi
6. Kuwa na marafiki wenye faida/maana
7. Kuwa na marafiki wakubwa kwako kiumri
8. Fanya ibada
9. Heshimu na linda familia yako
10. Kuwa na msimamo binafsi usiwe muoga
full nondo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom