USHAURI KWA MALE 35 YEARS

Smarter

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
466
225
Habari zenu Thinkers.

Kwa mwanaume aliefikia miaka 35. Je Ushauri gani unaweza mpatia.

Kuwa free kwenye maeneo yote ya Maisha. Afya, Uchumi, Social, Spiritual.

Karibuni sana.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,803
2,000
Habari zenu Thinkers.

Kwa mwanaume aliefikia miaka 35. Je Ushauri gani unaweza mpatia.

Kuwa free kwenye maeneo yote ya Maisha. Afya, Uchumi, Social, Spiritual.

Karibuni sana.
Angalia maisha yako.

Sio kila mwanamke unahempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.

Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.

Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.

Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima
 
kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,441
2,000
Afya..Dunia imebadilika kisukari kinaongoza kuua Sana hasa vijana .kula heathier na Jenga tabia ya mazoezi Mara kwa Mara.
Uchumi. Jiepushe Sana kuishi maisha ya mikopo ,kopa inapobidi na usicopy life style za watu. Save na wekeza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,445
2,000
Habari zenu Thinkers.

Kwa mwanaume aliefikia miaka 35. Je Ushauri gani unaweza mpatia.

Kuwa free kwenye maeneo yote ya Maisha. Afya, Uchumi, Social, Spiritual.

Karibuni sana.

Kwa lolote analofanya iwe biashara, ajira, ndoa, watoto, mali ahakikishe linarudisha sifa na utukufu kwa kwa Mungu
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,445
2,000

Mathayo 6:33​

Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.​

the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,858
2,000
Angalia maisha yako.

Sio kila mwanamke unahempenda umtokee,wengine unawapenda potezea utawasahau,itakuepusha na gharama zisizo na msingi.

Hakikisha una shughuli ya kujiajiri hata kama umeajiriwa.

Hakikisha unakuwa mtu asiyeongea pumba ukiwa na watu haijalishi umri wao.

Hakikisha unaweza kucontrol nyege zako kwa namna yeyote ile mradi usijivunjie heshima

Umenena vyema sana. Hii post ndio imenikumbusha mwakani I'm turning 35
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom