Ushauri kwa mafisadi waliopo Tanzania, tafuteni kazi nyingine au muhame nchi

Elimu ya hapa na pale

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
846
825
Hodi wa ungwana wa Mungu.
Kwakweli kwa speed hii ya Magufuli, napendekeza mafisadi watafute kazi nyingine. Maana kwa moto huu wa Magufuli wataishia pabayaaa. Au watafute inchi inayoweza kuwasapoti vinginevyo waache hiyo tabia. Maana kila wanapopanga kuiba wanakamatwa yaani ni shiida tuuu.
Jamani ni mtazamo wangu tu.
Na elimu yangu inanituma ivooo.
 
Mafisadi
Unaowajua
WALIkwisha kwapua mabilioni
Wana viwanda
Kwenye account zao hawakosi billion 5
Hizo ni pesa nyingi kumalizia maisha yao
Pamoja na KUTENGENEZA ya Watoto Wao
Mafisadi Sasa watapungua
Ila usitegemee neema yoyote ETI Kwa KUWA mafisadi wameacha kuiba
Kwa taarifa yako mafisadi Hawana shida Sana wana enjoy kama kawaida
Wewe endelea kudanganywa na hotuba za magufuli anajifanya mkali Lakini ameshindwa kuwafunga na mahakama ya ufisadi alianzisha..
Mafisadi hawana haja ya kusikia Ushauri wako ETI watafute kazi nyingine wakati ndio Hao Hao matajiri.. Acheni kufikiria kizembe... Ufisadi ni CCM na CCM ndio ufisadi zingine zote ni kelele tu bwana mdogo
 
Mkuu mafisadi wafisidi nini, watu walifanya ufisadi kukiwa na hela, sasa hivi kuna mapato gani ya kuzalisha mafisadi? Unajichoresha ww demu.
 
Hela zipo tena zakutosha tuuu. ila hazifikiki. Kama ndugu umezikosa tafuta kazi nyinginee
 
Mafisadi
Unaowajua
WALIkwisha kwapua mabilioni
Wana viwanda
Kwenye account zao hawakosi billion 5
Hizo ni pesa nyingi kumalizia maisha yao
Pamoja na KUTENGENEZA ya Watoto Wao
Mafisadi Sasa watapungua
Ila usitegemee neema yoyote ETI Kwa KUWA mafisadi wameacha kuiba
Kwa taarifa yako mafisadi Hawana shida Sana wana enjoy kama kawaida
Wewe endelea kudanganywa na hotuba za magufuli anajifanya mkali Lakini ameshindwa kuwafunga na mahakama ya ufisadi alianzisha..
Mafisadi hawana haja ya kusikia Ushauri wako ETI watafute kazi nyingine wakati ndio Hao Hao matajiri.. Acheni kufikiria kizembe... Ufisadi ni CCM na CCM ndio ufisadi zingine zote ni kelele tu bwana mdogo
Pole sana mpendwaa uliambiwa CCM ndo walianzisha ile LIST OF SHAME YA MWEMBE YANGA?? kwani CCM ndo walizunguka inchi nzima kusema mafisadi?? Jitambue achakutapeliwa kimawazoo
 
Hodi wa ungwana wa Mungu.
Kwakweli kwa speed hii ya Magufuli, napendekeza mafisadi watafute kazi nyingine. Maana kwa moto huu wa Magufuli wataishia pabayaaa. Au watafute inchi inayoweza kuwasapoti vinginevyo waache hiyo tabia. Maana kila wanapopanga kuiba wanakamatwa yaani ni shiida tuuu.
Jamani ni mtazamo wangu tu.
Na elimu yangu inanituma ivooo.
Watu wa chini na hali duni ndo tunateseka hao mnaoita mafisadi hawaujui ata ugumu huo maosema .,sisi huku ndo tunaishi kama mashetani hao mnao waita mafisadi wamebadilisha hela zao ktk dola na euro ..mnalopokalopoka tuuu eti wanakiona ....ovyooooo kabisa.
 
Tena umewashauri kwa kuwapenda kabisa
Mimi nisingeli washauri Wapuuzi hivyo,
Awamu hii watajuta siyo ya mchezo.
Nazidi kumuombea afya njema Rais wetu kipenzi chetu
Mungu zidisha upendo na Huruma kwa Rais wetu .
 
Bora shule zifunguliwe wiki ijayo nyie mabinti mrudi shule maana wanaume tutaishia kupoteza muda wetu kujadiliana na watoto.
Pole xaaana umekosa hadi hela ya kutongozea kwakweli Magufuli amewanyosha vibaya na bado hadi mtatubu tu.
 
Magufuli ni chaguo la Mungu lazima wajute.
Watetezi wao ni chadema lazima nao washikishwe adabu.
 
Watu wa chini na hali duni ndo tunateseka hao mnaoita mafisadi hawaujui ata ugumu huo maosema .,sisi huku ndo tunaishi kama mashetani hao mnao waita mafisadi wamebadilisha hela zao ktk dola na euro ..mnalopokalopoka tuuu eti wanakiona ....ovyooooo kabisa.
Unateseka we mtu wa chini kwakuwa ulizoea kunyweshwa pombe za bure. nani mtu wa hari ya chini anayehangaika?? ulizoea vya kunyonga vya kuchinja hutaviwezaaa. Eti mafisadi wanamaisha mazuri nawakati ndio wanaoshinda wanaliali eti Magufuli kawazibiaaa. We we unaishi ulimwengu gani wewe, au sio mtanzania??
 
Hodi wa ungwana wa Mungu.
Kwakweli kwa speed hii ya Magufuli, napendekeza mafisadi watafute kazi nyingine. Maana kwa moto huu wa Magufuli wataishia pabayaaa. Au watafute inchi inayoweza kuwasapoti vinginevyo waache hiyo tabia. Maana kila wanapopanga kuiba wanakamatwa yaani ni shiida tuuu.
Jamani ni mtazamo wangu tu.
Na elimu yangu inanituma ivooo.
Kwani Tanzania kuna mafisadi?
 
Nikweli mkuu bado inafuwata plan B haponi mtu nikilio kila mahali.
 
Hodi wa ungwana wa Mungu.
Kwakweli kwa speed hii ya Magufuli, napendekeza mafisadi watafute kazi nyingine. Maana kwa moto huu wa Magufuli wataishia pabayaaa. Au watafute inchi inayoweza kuwasapoti vinginevyo waache hiyo tabia. Maana kila wanapopanga kuiba wanakamatwa yaani ni shiida tuuu.
Jamani ni mtazamo wangu tu.
Na elimu yangu inanituma ivooo.

ivi kiongozi anayekula pesa za maafa sio FISADI , je uyu tunamtumbuaje
 
Back
Top Bottom