MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Baada ya Matokeo haya ya Igunga nyumbani kwa Menyekiti wa CUF Pro. Ibrahimu Haruna Lipumba kuangukia pua kabiiiisaaaaaa na ambapo Makamu wa Rais wa Zanzibar ni katibu wake mkuu.
Ningeshauri sasa waone chama chao kinapoteza mwelekeo kwa kukaa mdarakani muda mrefu sana na hakuna jipya lolote kwa Sasa la kuwekeza kwenye fikra za watanzania ili kuendelea kuongezeka umaarufu wake.
Ushauri wangu wa Bure kwao usio na utashi wa kisiasa ni;
1. Wakubali kuungana na CCM waweke sera moja kiutawala kwani haitakuwa na jipya baada ya kuungana Zanzibar.
2.Viongozi woote wakuu wakubali kujivua gamba kama sera za mashoga wao CCM ili kujenga nguvu mpya kwa watanzania.
3.Kukubali fika kuunga mkono chadema kuwa ni chama dume kinacholeta mageuzi kwa watanzania bila kuchafuana kimtizamo na kiimani.
4. MENGINE WADAU ONGEZEENI MAANA NI USHAURI WA BURE.