Ushauri kwa kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam Simon Siro.

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Feb 23, 2014
1,182
2,015
Juzi nimesikia kuwa unataka kufufua kwa nguvu mpya mazoezi yako yaliyoshindwa hivi karibuni.

Kamatakamata ya madada poa na kuhamisha wamachinga kutoka Ubungo na Kariakoo.

Kabla hujaanza tena kukamata dada zetu hawa na vijana wanaohangaika kutafuta rikiki zao. Naomba zingatia ushauri wangu.

Najua umeagizwa kuwa uhakikishe wameondoka ila hebu rudi nyuma kama ilivyo kawaida yako ya kutumia busara na hekima.

Kaa nao uwasikilize ili utatue chanzo, usitatue kwa ubabe kwa kuiga wengine wafanyavyo. Kwani unaweza kushindwa tena kama awali.

Fahamu pia unaheshimika sana kwa busara zako na ulivyo na uwezo wa uongozi.

Usivunje heshima yako. Pitia hapa ili ufahamu kuwa watu wanafahamu ulivyo smart kichwani.

Kamanda Sirro atakuwa bonge la IGP
 
Back
Top Bottom