USHAURI KWA HUYU RAFIKI ANGU,KALA MKE WA MTU

L

Lugano5

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2010
Messages
4,366
Likes
69
Points
145
Age
24
L

Lugano5

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2010
4,366 69 145
Habari hiyo hapo

Mkuu,

Nimepata issue moja isome hapo!

Hapa ninapoishi nina jirani yangu mmoja ni tiss

Sasa yeye anafanyia kazi mkoani,hapo nyumbani anafamilia kubwa tu

Huyu mke wake alianza mazoea na Mimi,nikamtafuna na akatokea kunipenda kweli yani(ni mmakonde)

Sasa ana binti yake mmoja kamaliza form 4 karudi nikaanza story nae,nikatupia ndoano kanasa,ila sijamtafuna ndo nipo kwa procee

Sasa huyu binti kakuta no.yangu na SMS ninazochat na mama ake kwenye simu ya mama ake!

Kakasirika sana,na kanambia hataki tena mahusiano na Mimi! Ashajua kila kitu

Kibaya zaidi mama ake,kanisave Jane,ndo inazidi kumchanganya!

Mama ake hajui kama mwanae kamgundua,

Hii issue naisave vipi mzee?

Maana hata mume wake,kesha anza kuhisi mkewe anatafunwa siku hizi kaweka spy kila kona!

That's all
 
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
785
Likes
936
Points
180
Age
24
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
785 936 180
Habari hiyo hapo

Mkuu,

Nimepata issue moja isome hapo!

Hapa ninapoishi nina jirani yangu mmoja ni usalama wa taifa

Sasa yeye anafanyia kazi mkoani,hapo nyumbani anafamilia kubwa tu

Huyu mke wake alianza mazoea na Mimi,nikamtafuna na akatokea kunipenda kweli yani(ni mmakonde)

Sasa ana binti yake mmoja kamaliza form 4 karudi nikaanza story nae,nikatupia ndoano kanasa,ila sijamtafuna ndo nipo kwa procee

Sasa huyu binti kakuta no.yangu na SMS ninazochat na mama ake kwenye simu ya mama ake!

Kakasirika sana,na kanambia hataki tena mahusiano na Mimi! Ashajua kila kitu

Kibaya zaidi mama ake,kanisave Jane,ndo inazidi kumchanganya!

Mama ake hajui kama mwanae kamgundua,

Hii issue naisave vipi mzee?

Maana hata mume wake,kesha anza kuhisi mkewe anatafunwa siku hizi kaweka spy kila kona!

That's all
Kwa nini unataka kula kuku na mayai yake?
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
3,555
Likes
4,380
Points
280
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
3,555 4,380 280
Jiandae kupata aibu kubwa itakayokupelekea kujiua mwenyewe.

KY ni mafuta ila yana kazi yake spesho.
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,406
Likes
1,879
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,406 1,879 280
Paka mafuta na shedo tu akija mwambie "karibu baba nilikungoja siku nyingii uniingilie mpaka kukuche"at least atafkri we jini atoke baru.
Ila akikomaa itabidi utafunwe tu siku hiyo hamna jinsi
 
Forum statistics

Threads 1,235,326
Members 474,524
Posts 29,218,559