Mahusiano ni jambo linalopelekea mtu kuwa mwema au kuwa na roho mbaya. Katika mizunguko yangu juzi nilikuwa sehemu nikakutana na dada mmoja wa makamo mwenye watoto 3(aliniambia). Kwa mtizamo alikuwa ana mawazo, tukawa tunapiga stori kawida, kunakitu aljifuza kwangu kutoana na mazungumzo, akaomba nimshauri. Alinieleza kuwa aliolewa na akapata mtoto 1 na bwana wake wa 1 bahati mbaya akafariki na kumuacha mpweke. Alikaa kitambo bila kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote. Baadae akapata mwanaume na kuishi nae na kubahatika kuzaa watoto 2, baadae yule bwana akawa anamnyanyasa sana ikapelekea mahusiano yao kuvunjika na kupeana talaka. Kutokana na misukosuko aliyoipata kwa mumewe huyo, alijenga hali ya kuchukia wanaume wote na hana imani na yeyote anayekuja mbele yake.
Kutokana na upweke huo kuna rafiki yake alimshauri kuepuka adha ya wanaume inabidi ajiridhishe mwenyewe kwa kutumia mashine kujichua. Mwanzo aliona sawa na kasha kuwa anafanya hivyo kwa zaidi ya mwaka na nusu, anacho sema kwa sasa hana hisia yeyote na mwanaume, ila akiweka wazo kwenye mashine yake hiyo anaridhika na kujisikia amani.
Anataka kuacha hali hiyo arudi kawaida, na alijaribu kukutana na mwanaume mara 1 miezi kadhaa iliyopita alipata maumivu sana, sasa afanyeje? Hataki kutendwa tena na huo mchezo anataka kuuacha. Anaomba mbinu za kujinasua na huo mchezo.
Nilimshauri mawazo yake ayaweke kwenye kazi na watoto wake, na atupe hicho kifaa anachotumia ili hata akiwaza anajikuta hana cha kusaidia kutimiza haja yake. Na asiwachukie wanaume bali amusome anaye mfuata kwa mahusiano ya kweli. Swali likaja atamtambuaje mkweli?
Wadau sikutarajia kusikia hayo kwa dada yule, naamini hapa JF ni suluhu ya Mambo, TUMSHAURI