Ushauri kwa huyu ex-wangu

Vijana bana....mke wa mtu huyo.....ana mmewe huyo.....ipo siku bwana wake atamtafuta
Kwani wakati anakuacha alikua hajui kama upo?
 
Umebadili line halafu akakutumia sms.

Kuna kauongo fulani,

Kwa yule anayesoma ndani ya ulichoandika atagundua
 
Yaani ulee mimba au mtoto wa mwanaume mwingine yamemchachia huko ndo anakufata ningekua mie ningepiga Chini je huko mbeleni akibadilika ndo utajinyonga kabisa
 
HILI nalo neno zuri kabisa hapa akili imekuja ngoja nimalize kunywa kahawa
Trust me huyo yupo ili umsaidie kwa mfano mie labda boyfriend aniache akaoe uko vimchachie ndo ajirudishe kwangu siwezi kukubali mtu nilishamsahau aje anikumbushie machungu wa nn kata mawasiliano tu mblok kila sehem utapata atakaekupenda kwa shati wamejaa kibao
 
Nimekuelewa miss kitongoji
 
Mana mwezi huu tangu uanze mpaka sasa mwendo wa kuniganda sanaa mpaka nikaona bora nijaribu kutafuta ushauri kwa ndugu jamaa na marafiki ILI kuona maoni yapoje kwanzaa
 
Huwezi msaidia Mke wa mtu kwa siri, na ukijua mlikua wapenzi. Huyo demu unampenda, acha kuzingua... Wewe ndio chanzo.. Ulipompa pesa alianza kumdharau mumewe na kukuona wewe ndiye unayemthamini.... Chanzo ni wewe! Oa
Mkuu kula tano..

Huyu jamaa kaharibu ndoa ya dreva teksi wa TRA...

Utampaje mke wa mtu malaki laki???!
 
We jamaa bado unamtaka huyo mchuchu...I can guess ur feeling..

Besides ...usikilize moyo wako then make decision

Ila bado unampenda uwongoo?
Sina hisia naye kabisaaa kwa sasa namuona kama mtu wa kawaidaa tuu
 
Kijana inavyoelekea bado unampenda huyo binti ndo mana unaendelea kumuhudumia kwa kumtumia pesa as if hana mume kumbe ni mke wa mtu.

Yaani yupo kwenye ndoa lakini pesa za matibabu na matumizi mengine unatoa wewe!!!!!!

Ama kweli kijana umekufa na kuoza kwa huyo mrembo,

Muoe tu hakuna namna!!
Kwanza inaezekana hiyo mimba ilikuwa ya mleta mada...

Asee mi sioi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom