Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo huwa linaanzia kwenye mawazo km haya.Ingekuwa rahisi hivyo, kila mtu angekua huko
Hapo sawa nimekuelewa.inahitaji kutuliza kichwa sana mpaka kufika kwenye kiwango cha kuanza kutengeneza pesa kama inavyoonekana kwa watu waliofanikiwa na hyo biashara, walio wengi wanaingia huku kwa shauku ya kutaka kuwa matajiri haraka bila kujua kama soko ni pana sanaaaa inakuhitaji muda na akili tulivu kufika hapo.
Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote.
1. Smartphone ya ghali (iphone 6 ,7,8 nk au samsung ya ghali sana.
2. Laptop isiyo na manufaa kwake (anatumia kuangalia movie).
Ushauri wangu:
Kama huna kazi na mtaji na upo kwenye hayo makund ya kumiliki vitu hvyo uza alaf fanya yafuatayo.
1. Ukiuza ukapata ata 400k unaweza ukazama ndichi ukaenda kukod shamba kwa ata 30k kwa heka ukalima maharage au zao lolote lisilo ns gharama na ukwekeza nguvu zako kuminimize cost unaweza ukatumia 300k n ukanunua ata Tecno ya kuwasalimia wadau online ukiwa ndichi.
Najua wengne mtajiuliza mashamba ya bei hyo unapata wap but hyo bei ukienda mkoa wa ruvuma kuanzia namtumbo, songea, mbinga, madaba, peramiho kote huko unapata mpka kwa 20k.
Pia ata songwe unapata kwa 40 to 50k, sumbawanga ni 25-50k, chunya ni 30-50k, njombe (mavanga) kunakubaki sana maharage kule ni 40k.
2. Kuna jamaa aliuza simu yake kwa 250k baada ya kitaa kumweka sawa akaenda kununua hle mashine ya fingerprint Famoco na kutoa aibu nabkuingia kitaa kusajili line mpaka sasa anapata commision around 200-350k per month na alitumia miezi mitatu tu akanunua tena simu na life go on.
3. Unaweza ata ukaenda masokon ukanunua mitumba viatu au nguo na kuanza kuuza kwa kuwa una elimu utaweza ata kutumia platform za social media kutafuta customers. (but degree uiweke pembeni).
4.Ukasubiri msimu wa mavuno ukaenda vijijin haswaaa ukanunua mazao kwa bei ya kulangua ukifika tiwn kidogo ukala cha juu huku ukiwa unakuza mtaji wako ikifika kubwa unafkisha town kabisa au unaprocess mwenyewe.
5. Ukiona zotehazikufai unasubiri Uncle atangaze ajira karibu forex utrade ukiwa n stress uchome account alaf uanze tena kutia huruma mtaani.
NB: Achana na motivational speakers wanakugeuza wewe fursa. Kilimo sio lazima uwe na miliioni ndo uanze kuna maeneo unapewa mashamba alaf unalipa gunia either 1 au 2 ukivuna so hapo inakuwa ni nguvu yako tu.
# If you want to start move join agriculture but agr will not make you to be rich.
#If u want to be rich do business.
Wadau wengine wataongezea lengo letu sote ni kufanikiwa tukumbuke tupo uchum wakati.
Mind ya mtu ikishafunguka utaona yeye mwenyewe akiwa na mabadiliko.Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote.