kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Ili tujue hatima ya Dunia yetu inayo onekana kusukwa sukwa na Supa pawa mbili us na N Korea. Ni vema Angetafutwa mnyama. Kakakuona ili tupate ufumbuzi juu ya hali hii duniani Maana yule mnyama habaatishi yeye atasema ukweli kama Kuna vita na dunia itakua katika hali gani.