Elections 2010 Ushauri kwa Dr.Slaa.

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Namshauri Dr.Slaa kufuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi kupitia kwa mawakala wake na kulinganisha na matokeo ya tume na baadaye ayatolee ufafanuzi.Pia namshauri aendelee kukaa kimya na kukusanya vielelezo.Hongera sana Dr. kwa kazi nzuri tunayoona mavuno yake.
 
Excellent. Dr. Slaa, tunaamin wewe ndie rais wetu na umeshinda lakin makame na jk na ccm (erufi ndogo) wameamua kutufanyia uhuni kwa kututawala kwa mabavu.
Kura zimeibiwa, tafadhali tukusanye ushaidi na kesi ufunguliwe. Mwenye haki kamwe hatazulumiwa. Mapambano Daima!
 
Namshauri Dr.Slaa kufuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi kupitia kwa mawakala wake na kulinganisha na matokeo ya tume na baadaye ayatolee ufafanuzi.Pia namshauri aendelee kukaa kimya na kukusanya vielelezo.Hongera sana Dr. kwa kazi nzuri tunayoona mavuno yake.

Hii Anafanya Kuna Control Room Ya SLaa wapo kazini usifikiri wamelala
 
Hii Anafanya Kuna Control Room Ya SLaa wapo kazini usifikiri wamelala

Hizi ndiyo habari napenda kuzisikia, hawa wengine wanao anza kumshauri Dr. wa ukweli kukubali kushindwa wakati mechi hata haija fikia ukingoni naona wana yao mambo.
 
Hongera DR.slaa tuko pamoja na wewe Mungu ameshakuteua kuiongoza Tanzania na maovu yote CCM waliyoyafanya Mungu anaendelea kutuonyesha kama ya leo jimbo la Segerea hapo Mungu kajidhihirisha, angalia kule shinyanga mshindi katangazwa CCM wanashinikiza aliyeshindwa atangazwa, JK kaenda mwanza kushinikiza halafu kaenda shinyanga kushinikiza lakini kote kashindwa kwa sababu Dr.Slaa ni mteule wa Mungu.

KUWA MPOLE HUKU UKIKUSANYA VIELELEZO HALAFU MWISHO TUTAFANYA MALINGANISHO NA WATANZANIA UTAWAJULISHA KISHA WATAAMUA.
Hongera Rais wetu endelea kuokoa madini ya shinyanga na mwanza Wasukuma umewafunda wamekuelewa wamekusikia na umeshuhudia waliyoyafanya kwa kuidhibu CCM
 
Hii Anafanya Kuna Control Room Ya SLaa wapo kazini usifikiri wamelala

Hizi ndiyo habari napenda kuzisikia, hawa wengine wanao anza kumshauri Dr. wa ukweli kukubali kushindwa wakati mechi hata haija fikia ukingoni naona wana yao mambo.
Shida baadhi ya watu huwa wanaridhika upesi na mafanikio kidogo. Kwa kupata hawa wabunge wa chadema baadhi tayari ni kama wanaona inatosha, na kuona kama urais si muhimu sana tena. Haya ni mawazo tenge. Tukomae mpaka dakika ya mwisho: kwa ubunge na urais. Tusianze kumshauri dr. slaa juu ya kushindwa wakati bado mechi inaendelea.
 
Back
Top Bottom