ushauri kwa dr slaa na chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri kwa dr slaa na chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fige, Mar 7, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kuwa viongozi wa nchi hii hawapenzi kuambiwa madhaifu,kwa mtizamo wangu wanataka kusifiwa .

  Kwa jinsi hiyo kwenye maandamano yajayo viongozi wa chadema wasisitize yafuatayo;-
  1. Wananchi wa Tanzania sasa wana maisha mazuri sana maana hakuna shida tena ya umeme hivyo tunawashukuru sana ccm wakiongozwa na raisi jk kwa kutuongezea bei ya umeme.tunashauri kuwa do once walipwe kwa sababu nchi hii haina matatizo ya kifedha ndio maana hata madini yetu tunagawa bure

  2. Tunamshukuru sana Raisi wetu kwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa kuchapisha noti mpya,kwa kuwa saizi ya noti inabebeka hata zikiwa nyingi hivyo hata bei ya vitu ikipanda tutamudu kuzibeba.

  3. Tunamshukuru mh. Raisi kwa mishahara inayokidhi haja kwa sababu watanzania ukiwapa mishahara mikubwa
  Wataishia kwenye ulevi kitu mbacho si kiizuri, ingawa serikali yetu inategemea sana kodi za walevi, si vema kuwaharibu watz wenu (kama wanasiasa mlivyozoea kusema).ushauri wape mishahara mikubwa wakubwa tu ili heshima ndani ya nchi iwepo.

  Yapo mengi najua wewe mwenyewe slaa unayafahamu,ila tahadhari ni kwamba ccm watayafurahia na wananchi je ?
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ahahaha!!!
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tunashukuru, thank you very very much:A S 13:
   
 4. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Gud ideal bt ni vema Chama kama Tlp chenye Mbunge mmoja kutoa sifa hizo ambazo Kikwete him self atapenda japo sio sana kwani alipendekeza kwenye noti ya elfu 10 aweke sura yake then Presid wa Zanz akamwambia na elfu 5 weko ya Salma elfu 2 weka ya Riz na elfu 1 weka ya Zakhia ya mia 5 weka ya Kamata
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Watakataa tena.... Hv CCM unawajua wewe kweli?
   
 6. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,163
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hapa tulipofika hii nchi haihitaji mzaha na vijembe, ni wakati wa ukombozi na si vinginevyo. Jembe litaitwa jembe, Koleo ni koleo, ufisadi ni ufisadi, usanii kwenye mambo ya msingi ni usanii. Ukicheka na nyani utavuna mabua.

  Ni vyema ukajua kuwa ukifanya utani na CCM watakuzika. No way they must go......
   
Loading...