Ushauri kwa DART kuhusu nauli ya shilingi 650

fdizzle

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,900
2,394
Suala la chenji katika nauli za haya mabasi limekuwa ni kero sana.
Badala ya kulipa 650/= kama nauli inatulazimu kulipa 700/= maana wakatisha tiketi wanadai hawana chenji.Kama vipi mtuambie tu kuwa nauli ni 700/= tutambue hilo kuliko hivi mnavyofanya sasa.
Jaribun kuiga mfumo wa kukata tiket pale kivuko cha kigambon hata ukiwa na 10000/= na unakata tikey ya mia mbili utarudishiwa chenji yako hapo hapo bila ya usumbufu wowote
 
Niwizi wanaufanya wauza Ticket na wameiga upuuzi wa Daladala unatoa Hela then wanakuuliza kama una 150,,,,Sh***nzi
 
Back
Top Bottom