Ushauri kwa chama chetu ACT WAZALENDO

choga mkuu

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
283
110
Ndugu viongozi Wa ACT WAZALENDO napenda kuwaomba mwende mtaa Wa magogoni(IKULU) muifuate ILANI YA UCHAGUZI mliyompa ndugu mtukufu rais siku anaapa,kwa sababu ya kukiuka maelewano baina ya chama na yeye kama rais. Leo mnaona anatengeua uteuzi Wa mkurugenzi kisa ni mwanachama Wa ACT ,. Hakuna haja ya kuendelea kumwachia ilan yetu ya uchaguzi.
Wanajamvi karibun kwa mjadala
 
uchaguzi umeisha tuchape kazi Sintambagua mtu yeyote kwa itikadi ya chama chake sisi sote ni watanzania. mwisho wa kumnukuu mkulu
Ndio maana huwa na wasiwasi na hizi dini zetu tulizoletewa. Kuzifuata ni ngumu mno.
 
Acheni kutokwa mapovu, hiyo Ilani yenu ACT ingekuwa bora si mngechaguliwa na wananchi!!! Ilani inayotekelezwa ni moja tu, ni ya chama kilichopo madarakani.

Halafu huyo kada wenu kutenguliwa ni halali kwa kuwa si mwanaCCM na haijui Ilani ya CCM inayoenda kutekelezwa.

By the way mimi sioni baya lolote alilofanya Magufuli kumtengua huyo aliyeko upande wa Zito maana anataka watu waliopigana naye kuingia Magogoni. Sasa Zitto anataka apewe kada wake kwa kazi ipi aloifanya?
 
Huwezi kufanya kazi na mtu asiyeijua ilani yako kwenye nafasi zote za kuteuliwa. hao waende wakatafute kazi za ku apply tu.

Labda Zitto anataka huyo kada wake aende akaibe siri ya mafanikio ya Mh. Raisi na chama chake cha CCM ili amletee yeye aweze kujipanga jinsi ya kuwavuruga.

Nimeamini upinzani umetendwa aisee, fanyeni kazi mjipange mwaka 2020, lakini si kwa mabadiliko haya tunayoletewa na Mh. Raisi ya maendeleo ya kweli na si yale ya kuzungusha mikono, otherwise msubiri kushika madaraka baada ya miaka 40 kama alivyosema mgombea uraisi wa ukawa mwaka jana wakati wa kampeni
 
Acheni kutokwa mapovu, hiyo Ilani yenu ACT ingekuwa bora si mngechaguliwa na wananchi!!! Ilani inayotekelezwa ni moja tu, ni ya chama kilichopo madarakani.

Halafu huyo kada wenu kutenguliwa ni halali kwa kuwa si mwanaCCM na haijui Ilani ya CCM inayoenda kutekelezwa.

By the way mimi sioni baya lolote alilofanya Magufuli kumtengua huyo aliyeko upande wa Zito maana anataka watu waliopigana naye kuingia Magogoni. Sasa Zitto anataka apewe kada wake kwa kazi ipi aloifanya?
We unaamin ccm ilishinda kwa ilan yenu? mabomu yaliyorindima majimboni yaliashiria nn?
 
We unaamin ccm ilishinda kwa ilan yenu? mabomu yaliyorindima majimboni yaliashiria nn?

Mkuu haijalishi walishindishwa ama walishinda. Lakini ndio waliopo madarakani kwa maana hiyo ndio walioshinda.

By the way mimi sio CCM lakini hiyo ilani yao kwa sasa ni ilani yetu sote upende usipende. Kama haupendi hama nchi mkuu vinginevyo no way unaweza kuikwepa.
 
Back
Top Bottom