Ushauri kwa CHADEMA kuhusu bendera yao!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
Baada ya utamaduni wa kuongozwa na fikra na muhemko wa 'kidikteta' wa mtu mmoja kuwa ndio utamaduni pendwa ndani ya Chadema basi nichukue fursa hii kuwashauri jambo hasa hasa mwenyekiti Mbowe.

Ufafanuzi kuhusu udikteta wa kimaamuzi ndani ya Chadema

Kwa wanaokumbuka bendera ya Chadema ilikuwa na rangi ya blue bahari kwa sehemu kubwa lakini uamuzi wa mtu mmoja uliibadilisha na kuwa na rangi hii iliyo nayo sasa.

Pia kwa wale mnaokumbuka aliyebadili msemo wa pipoooz power kuwa msemo wa hamasa 'makamanda' wa Chadema na badala yake kuanza kutumia msemo wa mabadilikoooo lowassa alikuwa ni mmoja tu tena ghaflaghafla tu ....

Hayo mabadiliko na mengine ambayo yameshatajwa sana humu jamvini yanatosha kabisa kuwapa sifa viongozi wa Chadema kuwa viongozi wenye hulka za 'kidikteta'

Nikirudi kwenye ushauri wangu...napendekeza Chadema kwa mara ya kwanza iachane na udikteta wa kimaamuzi na iwashirikishe wafuasi wake katika zoezi la kubadili nembo ya V iliyoko kwenye bendera ya sasa na badala yake iwekwe alama ya mikono miwili inayoonesha alama ya mabadiliko...hii itaendana sana na slogan aliyoileta mwenyekiti baada ya.........

nasisitiza zoezi hili lishirikishe wanachama ili kuondokana na dhana inayotaka kujengenga ya udikteta ....

NAWASILISHA

CC:CHADEMA ASILIA

CC:CHADEMA ULIPO TUPO

CC:CHDEMA KASKAZINI

CC:CHADEMA MGUU NDANI MGUU NJE

CC:CHADEMA SPECIAL DIPLOMA
 
Yaani ile bendera rangi yake nyekundu ya umwagaji damu. Huwa siwaelewi wanamanisha nini.
 
Imenoga kwa anayependa kukubali trueth, ukweli.
 
ndio maana tunasema wajameni chadema ina wenyewe, ukikurupuka na kuvamia masuala nyeti lazima uangukie pua. udikteta ndio umeshamiri kama mtoa mada anavyosema. wanachama na hata wabunge hawako huru kutoa hoja mbadala au zenye kuleta criticism kwa uongozi. kiufupi hakuna demokrasia ndani ya chama. mfano mdogo tu, style aliyoingia nayo kiongozi mgombwa urais na akapata nafasi ya kugombea huku akiwaacha wakongwe wamebung'aa hawajui la kufanya. na ndio maana wakaamua kutimka bila kujua wanaelekea wapi. ni dhambi kubwa imefanyika.hayahaya yalimtokea Zito pale alipoanza kuhoji mafweza ya mapato na matumizi ndani ya chama. wakina Prof Kitila Mkumbo hivyo hivyo, Chacha Wangwe, Said Arfi na wengineo. hatutaisahau Chadema asilia
 
Mbona viongoz wa ccm ndo madcteta lakin hamuwasemi? Tunaogopa kuongea kwa7bu siku hizi ata ukibainika unaiponda serikari unaenda kunyea debe,
Najua mbowe ndo mtu pekee kwasasa anayewanyima raha zaid mafisiem.
 
Rangi nyekundu wanavaa siku ya wapendanao nayo ni kumwaga damu? Akili za CCM shida ndo maana mnachagua wabunge hovyo!!!
 
Mbona viongoz wa ccm ndo madcteta lakin hamuwasemi? Tunaogopa kuongea kwa7bu siku hizi ata ukibainika unaiponda serikari unaenda kunyea debe,
Najua mbowe ndo mtu pekee kwasasa anayewanyima raha zaid mafisiem.
Nani aliyeiponda serikali ananyea debe?
Acha kuropoka kama muuza kahawa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom