Ushauri kwa CCM-Tanzania

Mar 3, 2018
74
900
Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri
===
UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA.
Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027

Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba {Ufunuo 1; 9-14} akiwa katika kisiwa cha Patmo,vivyo hivyo nami ninawaandikia Watanzania hasa WanaCCM na wote wenye nia njema na Tarzanianikiwa huku Himaya ya SEKE alikozikwalgulu Bagomola MIVANAMALUNDI {1840-1936}.

Mwaka 2019 kupitia uchaguzi wa serikali zamitaa CCM ilifanikiwa kupata idadi kubwa ya wenyeviti wavitongoji, vijiji na mitaa kwa mara ya kwanza tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Hata hivyo uchaguzihuo ulikosolewa na wadau wa demokrasia kwa madai ya kuwa wizara yenye dhamana (OR -TAMISEMI) iliwruga uchaguzi huo kwa kutowapitisha wagombea wengi wa upinzani kwa vigezombalimbali ikiwemo kukosea majina yao pamoja na vyama vyao na kufanya wagombea wa CCM wapitebila kupingwa. Kwa hiyo mwaka 2019 kiasi kikubwa cha wapiga kura wa Tanzania hawakutimiza hakizao zA kuchagua viongozi wa vijiji na mitaa wanaowataka kutokana na seftr zaohadi kupelekea maamuziya wajumbe wa vikao vya CCM vilivyopitisha wagombea hao kuwa maamuzi ya mwisho. Kitendo hikikiliacha sintofahamu kwa wapiga kura wengi waTanzania.

Mwaka 2020 vijana na wanawake wengi walijitokeza kushiriki kttra za maoni ndani ya chama nakuambulia kura 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 hadi1O licha ya kujieleza vizuri mbele ya wajumbe kitendo ambachokilipelekea 'WAruMBE SIO WATU WAZURI" kushika hatamu. Wajumbe wa vikao vya CCMwalijipatia jina hilo kwa sababu baadhi yao waligubikwa na vitendo vya rushwa ambavyo viliwapofushamacho na kuchagua kina cha mifafto ya wagombea na siyo yaliyomo kwenye agenda za wagombea.

Kwa kutambua hilo mwenyekiti wa chama Taifa na rais wakati huo hayati Magufuli aliongoza chamakufanya maamuzi magumu ya kutowapitisha wagombea walioongoza kura za maoni kwenye baadhi yamajimbo kama hatua ya haraka ya kupambana na rushwa pamoja na'UMAFIA" mwingine ambao chamakiliona haukubaliki kuhalalisha ushindi huo. Inawezekana CCM chini ya Magufuli ilikuwa na nia njemaya kupambana na rushwa lakini kitendo cha kutowapitisha washindi wa kura zamaoni kwenye baadhi yamajimbo kiliacha chuki moyoni nafuraha usonikwa baadhi ya wagombea, wajumbe na wapiga kura.

Hata hivo uchaguzi mkuu 2020 ambao chama chetu kilifanikiwa kupata idadi kubwa ya Madiwani naWabunge ulikosolewa sana na wadau wa demokrasia pamoja na umoja wa mataifa kupitia shirika la hakiza binadamu kwamba uchaguzi haukuwa wa huru na haki kwasababu ya maandalizi mabovu ya tume yaTaifaya uchaguzi ya wakati huo.Nimeona tujikumbushe hayo kabla hatujaingia kwenye uchaguzi wa chama na kutoa mapendekezo yangujuu ya nini kifanyike ili tupate 'WAJUMBE WAZURI" kupitia uchaguzi wa CCM 2022 ambaoutatupatia wajumbe watakaopiga kura ya maoni kuchagua wagombea kwenye uchaguzi wa serikali zamitaa2024 na kupiga kura ya maoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Madiwani,Wabunge na Rais 2025.

NINI KIFANYIKE?

1. KUWASHILIKISHA VIONGOZI WA DINI, KUENDELEA KUWAKUMBUSHA WAUMINI (WANA CCM) JUU YA UMUHIMU WAO KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA 2022
'umkabidhi BWANA njia yako pia umtumaini naye aafanya" Zab : 37 : 5

Ni vizuri kutambua nguvu ya imani zetu hasa tunapopambana na rushwa kwa vitendo maandikomatakatifu yanatueleza kuwa rushwa ni adui wa haki lakini pia Mtume Mohammed amesemamtoa rushwa na mpokea rushwa wote motoni

Barack Obama alisema 'I am a big believer in the separation of church und the state bat not theseparation of religion and Politics. I reject the ideologlt thut sees religion has a purely privateactivity that must be kept awayfrom Politics'

Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba " mimi ni muwnini mkubwa wa kutenganisha Kanisa na Nchilakini siyo kutenganisha Dini na siasu Ninakataa dhana inayoona Dini ina shughuli binafsiambayo inatakiwa kutenganishwa na mfumo wa maisha yetu,siasa.

Kwahiyo si dhambi kuwakumbusha waumini wenzetu kwenye madhehebu yao kuzidishamapambano dhidi ya rushwa kwa vitendo kwa kugombea nafasi zauongozi kwenye vyama vyaohasa wana CCM ambao wanatarajia kufanya uchaguzi wa chama 2022ili kupata wajumbe wenyehofu ya Mungu ambao watapiga kura za maoni 2024 na2025 kwenye uchaguzi wa Madiwani,Wabunge na Rais. Kama tutashindwa kutumia mda huu kabla ya mwaka 2022 kuhamasishawanachama ambao wanakataa rushwa kugombea nafasi hizo tutajikuta tunarudia makosa yanyuma ya kuacha vita vya mfukoni iamue nani awe kiongozi wetu2025 na tutalazimika kusubiriuchaguzi wa chama tena 2027.

Kukabidhi vita hii kwa Mungu siyo unyonge, ni muhimu sana kwani hakuna jamii iliyoendeleakwa kuongozwana viongozi ambao ni zao la rushwa. Kuendelea kulalamika kwamba wajumbe siwatu wazuri ni ishara mbaya ya kukiri kuwa hatuna uwezo wa kubadili kinachoendelea kwenyechama chetu. Tuchukue hatua muda ni sasa. Christmas na Mwaka mpya havipaswi kupita bilakuyazungumza haya Msikitini, Madhabahuni na Altareni kama tuna nia ya kubadilikinachoendelea.

CHAMA CHA MAPINDUZI KINATAKIWA KUANDAA BAJETI YA UANDAAJI NAUSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAKE KIKAMILIFU. 'Arrogance makes an Easy target" CRAIG CRAWFORD

Kupitia uchaguzi wa mwaka 2020 ndani ya chama nilifanya utafiti nikagundua kuwa baadhi yawana chama wa CCM wamekuwa wakitumia gharama kubwa kufadhiri uchaguzi kwa njia zapanya ili kuhakikisha nafasi za uongozi za chama zinachukuliwa na watu ambao wanatabia zakuuza kura zao kwa kiasi kadhaa cha pesa kwa wagombea pindi muda wa kura za maoniunapofik4 vitendo hivyo vichafu vinafanyika kwa njia zifuatazo;

a.Kuwachukulia fomu na kuwawezesha fedha ili washinde ndasi ya uongozi wa chamakwaujili ya kawatumia miaka ya uchaguzi wa serikali unapofika (2024, 2025)

b. Kuloa usafiri na chakula muda wa uchaguzi jambo ambalo lilipaswa kufanywa na chama

Chama chetu kinapaswa kujiandaa kikamilifu ili kutowapa mwanya wafadhiri (Sponsors) wauchaguzi ndani ya chama kwa kujizatiti katika maswala ya maandalizi ya uchaguzi

CCM ina Wanzo vingi vya mapato hivyo inaweza kuchukua sehemu yahazina yake ili kuihamidemokrasia ndani ya chama na kuwafanya wajumbe kuwa huru dhidi ya watia nia wanao j iandaamfukoni . P.L.O Lumumba aliwahi kusema 'Commercialization of politics is a threats todemocragt" kwa tafasiri isiyo rasimi ni kuwa kuirasimkha siasa kuwa biashara ni hatari kwa demokrasia

3. USIMAMIZI WA UCHAGUZI WA CCNI 2022 UFANYIKE KWA MFUMO WAOPERATION
Hakuna ubaya wa kuiga jambo zuri. Mfano viongozi na maafisa wa chama wanagawanamajukumu ya kwenda kwenye majimbo na wilaya kuongeza nguvu ya usimamizi wa uchaguzikwenye eneo moja hadi jingine. viongozi na maafisa *a cha-a waliotumwa na chama waandaetaarfa moolum ya uchaguzi juu ya namna walivyofanikiwa kudhibiti vitendo vya rushwakwenye maeneo waliyoaminiwa kutekeleza wajibu huo na kuikabidhi kwa chama. Taarifa hiyoitakisaidia chama kufanya tathmini juu ya vitadhidi ya rushwa ili chama kijue kimefanikiwa wapina kimeshindwa wapi ili kuongeza ufanisi wa wajumbe kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa2024 na uchaguzi mkuu 2025 katika kuchagua Diwani, Mbunge na Rais

4. KUANDAA MATANGAZO YENYE LENGO LA KUWAELIMISHA WANACHAMAKUELEKEA UCHAGUZI 2022 NA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI NAMITANDAO YA KIJAIVIII KUFIKISHA UJUMBE ULIOKUSUDIWA.

Kutokana na uwepo wa vyombo vya habari kama TBC,ITV,sTARTV,channel lo,UhuruFM,magazeti na mitandao ya kijamii inaweza kuelimisha wanachama wetu kabla muda wauchaguzi haujafika' Kwa mfano maoni kama haya yakipewa fursa kwenye vyombo vya habarivya chama na visivyo vya chama nafikiri kwamba kunachocho te kinawezakupatikana kwa lengola kuboresha hali yetu kwa sasa

MWISHO

Kupitia barua ya pongezi niliyopokea kutoka chama cha mapinduzi wilaya ya Kakonko/Buyunguyenye Kamb' No CCWKNI(U.2/V0L.3/168 ya tarehe 8/11/2020 ilinisisitiza kutokata tamaandani ya chama na kuendelea kukijenga na kukiimarisha mahali popote kwa maslahi mapana yachama na serikali yake kwa kuendelea kushauri na kushirikisha kwa nia yakukiimarisha chamachetu kiendelee kuwa madhubuti.

Haya ni maoni yangu ambayo nimeona niwashirikishe ili kuboresha na hatimaye tupate wajumbe2022 ambao watakuwa na kazi ya kuongoza chama kama viongozi na kupiga kura ya maonikatika uchaguzi wa serikari zamitaa2024 na uchaguzi mkaa 2025.

Kujiandaa vizuri kutafanya ccM kuwa na wajumbe ambao watachagua wagombea wanaonadikakwenye kampeni katika chaguzi za serikali zamitaa2024 nauchaguzi mkuu 2025 na kupunguzalawama zawapinzani wetu juu ya matumizi ya nguvu ya vyombo vya dola.

Hakuna ulazima wa kuchukua ushauri huu maana tangu mwanzo nimesema haya ni maoni yangukwahiyo nisihukumiwe kwa lolote.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU AWABARIKI
ELIA MICHAEL KANTERO
0623 525 7 5 8/0747 707 3 I 2

Nakala: Katibu wa CCM Wilaya-Kwa taarifa
S.L.P 5
KAKONKO.
Katibu wa CCM Mkoa,
S.L.P 199
KIGOMA
 
Attachments

  • File size
    2.3 MB
    Views
    5

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
10,423
2,000
Dogo unapoteza tu muda kwa hiki ulicho kiandika. Maana siku zote ccm ina wenyewe, na kwa bahati mbaya wewe si mmoja wao. Hivyo endelea tu kula matunda ya ule Uyuda Iskarioti wako.
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
940
1,000
Jamaa yangu naskia ulipata u afisa mtendaji ukawa mnoko wakakupa kipigo cha mbwa koko na kukuvunja meno, pole bwana Elia kwa hiyo unatoa ushauri siyo?
Si naskia uliahidiwa ukuu wa wilaya enzi zileeeeee za usajili wa polepole? duh aisee
 
pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,424
2,000
Wewe unajua kabisa upo ccm ila sio mwanaccm! Umelazimika tu! Na bahati mbaya na uhakika ulicho ahidiwa hukupewa na hutopewa maana "you're done and finished!🤣🤣
 
Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
2,209
2,000
CCM inaongozwa kwa Katiba, Kanuni, na Miongozo iliyopitishwa kupitia vikao halali.

Wajumbe wanapatikana kwa kanuni ya uchaguzi. Demokrasia inazingatiwa.

Ukiwazingua Wanakuzingua.

Wapi Dk.Mwakyembe?
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,892
2,000
CCM ni kama dampo, mchanganyiko wa taka zilizoko huko unakufanya usionekane.
 
CHECHEMLENDA

Senior Member
Sep 19, 2021
181
250
Dah maisha yanaenda kasi sana. Kila ukichungulia hola, ukijitekenya hola. Bado kidogo atavuka mstari kurudi alikotoka
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,723
2,000
Nimesoma mpaka ulipoandika kupitia uchaguzi wa 2019 nikaacha. Hivi kile kituko kilikuwa uchaguzi kweli? Elia acha utani aisee
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,040
2,000
Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri
===
UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA.
Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027

Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba {Ufunuo 1; 9-14} akiwa katika kisiwa cha Patmo,vivyo hivyo nami ninawaandikia Watanzania hasa WanaCCM na wote wenye nia njema na Tarzanianikiwa huku Himaya ya SEKE alikozikwalgulu Bagomola MIVANAMALUNDI {1840-1936}.

Mwaka 2019 kupitia uchaguzi wa serikali zamitaa CCM ilifanikiwa kupata idadi kubwa ya wenyeviti wavitongoji, vijiji na mitaa kwa mara ya kwanza tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Hata hivyo uchaguzihuo ulikosolewa na wadau wa demokrasia kwa madai ya kuwa wizara yenye dhamana (OR -TAMISEMI) iliwruga uchaguzi huo kwa kutowapitisha wagombea wengi wa upinzani kwa vigezombalimbali ikiwemo kukosea majina yao pamoja na vyama vyao na kufanya wagombea wa CCM wapitebila kupingwa. Kwa hiyo mwaka 2019 kiasi kikubwa cha wapiga kura wa Tanzania hawakutimiza hakizao zA kuchagua viongozi wa vijiji na mitaa wanaowataka kutokana na seftr zaohadi kupelekea maamuziya wajumbe wa vikao vya CCM vilivyopitisha wagombea hao kuwa maamuzi ya mwisho. Kitendo hikikiliacha sintofahamu kwa wapiga kura wengi waTanzania.

Mwaka 2020 vijana na wanawake wengi walijitokeza kushiriki kttra za maoni ndani ya chama nakuambulia kura 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 hadi1O licha ya kujieleza vizuri mbele ya wajumbe kitendo ambachokilipelekea 'WAruMBE SIO WATU WAZURI" kushika hatamu. Wajumbe wa vikao vya CCMwalijipatia jina hilo kwa sababu baadhi yao waligubikwa na vitendo vya rushwa ambavyo viliwapofushamacho na kuchagua kina cha mifafto ya wagombea na siyo yaliyomo kwenye agenda za wagombea.

Kwa kutambua hilo mwenyekiti wa chama Taifa na rais wakati huo hayati Magufuli aliongoza chamakufanya maamuzi magumu ya kutowapitisha wagombea walioongoza kura za maoni kwenye baadhi yamajimbo kama hatua ya haraka ya kupambana na rushwa pamoja na'UMAFIA" mwingine ambao chamakiliona haukubaliki kuhalalisha ushindi huo. Inawezekana CCM chini ya Magufuli ilikuwa na nia njemaya kupambana na rushwa lakini kitendo cha kutowapitisha washindi wa kura zamaoni kwenye baadhi yamajimbo kiliacha chuki moyoni nafuraha usonikwa baadhi ya wagombea, wajumbe na wapiga kura.

Hata hivo uchaguzi mkuu 2020 ambao chama chetu kilifanikiwa kupata idadi kubwa ya Madiwani naWabunge ulikosolewa sana na wadau wa demokrasia pamoja na umoja wa mataifa kupitia shirika la hakiza binadamu kwamba uchaguzi haukuwa wa huru na haki kwasababu ya maandalizi mabovu ya tume yaTaifaya uchaguzi ya wakati huo.Nimeona tujikumbushe hayo kabla hatujaingia kwenye uchaguzi wa chama na kutoa mapendekezo yangujuu ya nini kifanyike ili tupate 'WAJUMBE WAZURI" kupitia uchaguzi wa CCM 2022 ambaoutatupatia wajumbe watakaopiga kura ya maoni kuchagua wagombea kwenye uchaguzi wa serikali zamitaa2024 na kupiga kura ya maoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Madiwani,Wabunge na Rais 2025.

NINI KIFANYIKE?

1. KUWASHILIKISHA VIONGOZI WA DINI, KUENDELEA KUWAKUMBUSHA WAUMINI (WANA CCM) JUU YA UMUHIMU WAO KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA 2022
'umkabidhi BWANA njia yako pia umtumaini naye aafanya" Zab : 37 : 5

Ni vizuri kutambua nguvu ya imani zetu hasa tunapopambana na rushwa kwa vitendo maandikomatakatifu yanatueleza kuwa rushwa ni adui wa haki lakini pia Mtume Mohammed amesemamtoa rushwa na mpokea rushwa wote motoni

Barack Obama alisema 'I am a big believer in the separation of church und the state bat not theseparation of religion and Politics. I reject the ideologlt thut sees religion has a purely privateactivity that must be kept awayfrom Politics'

Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba " mimi ni muwnini mkubwa wa kutenganisha Kanisa na Nchilakini siyo kutenganisha Dini na siasu Ninakataa dhana inayoona Dini ina shughuli binafsiambayo inatakiwa kutenganishwa na mfumo wa maisha yetu,siasa.

Kwahiyo si dhambi kuwakumbusha waumini wenzetu kwenye madhehebu yao kuzidishamapambano dhidi ya rushwa kwa vitendo kwa kugombea nafasi zauongozi kwenye vyama vyaohasa wana CCM ambao wanatarajia kufanya uchaguzi wa chama 2022ili kupata wajumbe wenyehofu ya Mungu ambao watapiga kura za maoni 2024 na2025 kwenye uchaguzi wa Madiwani,Wabunge na Rais. Kama tutashindwa kutumia mda huu kabla ya mwaka 2022 kuhamasishawanachama ambao wanakataa rushwa kugombea nafasi hizo tutajikuta tunarudia makosa yanyuma ya kuacha vita vya mfukoni iamue nani awe kiongozi wetu2025 na tutalazimika kusubiriuchaguzi wa chama tena 2027.

Kukabidhi vita hii kwa Mungu siyo unyonge, ni muhimu sana kwani hakuna jamii iliyoendeleakwa kuongozwana viongozi ambao ni zao la rushwa. Kuendelea kulalamika kwamba wajumbe siwatu wazuri ni ishara mbaya ya kukiri kuwa hatuna uwezo wa kubadili kinachoendelea kwenyechama chetu. Tuchukue hatua muda ni sasa. Christmas na Mwaka mpya havipaswi kupita bilakuyazungumza haya Msikitini, Madhabahuni na Altareni kama tuna nia ya kubadilikinachoendelea.

CHAMA CHA MAPINDUZI KINATAKIWA KUANDAA BAJETI YA UANDAAJI NAUSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAKE KIKAMILIFU. 'Arrogance makes an Easy target" CRAIG CRAWFORD

Kupitia uchaguzi wa mwaka 2020 ndani ya chama nilifanya utafiti nikagundua kuwa baadhi yawana chama wa CCM wamekuwa wakitumia gharama kubwa kufadhiri uchaguzi kwa njia zapanya ili kuhakikisha nafasi za uongozi za chama zinachukuliwa na watu ambao wanatabia zakuuza kura zao kwa kiasi kadhaa cha pesa kwa wagombea pindi muda wa kura za maoniunapofik4 vitendo hivyo vichafu vinafanyika kwa njia zifuatazo;

a.Kuwachukulia fomu na kuwawezesha fedha ili washinde ndasi ya uongozi wa chamakwaujili ya kawatumia miaka ya uchaguzi wa serikali unapofika (2024, 2025)

b. Kuloa usafiri na chakula muda wa uchaguzi jambo ambalo lilipaswa kufanywa na chama

Chama chetu kinapaswa kujiandaa kikamilifu ili kutowapa mwanya wafadhiri (Sponsors) wauchaguzi ndani ya chama kwa kujizatiti katika maswala ya maandalizi ya uchaguzi

CCM ina Wanzo vingi vya mapato hivyo inaweza kuchukua sehemu yahazina yake ili kuihamidemokrasia ndani ya chama na kuwafanya wajumbe kuwa huru dhidi ya watia nia wanao j iandaamfukoni . P.L.O Lumumba aliwahi kusema 'Commercialization of politics is a threats todemocragt" kwa tafasiri isiyo rasimi ni kuwa kuirasimkha siasa kuwa biashara ni hatari kwa demokrasia

3. USIMAMIZI WA UCHAGUZI WA CCNI 2022 UFANYIKE KWA MFUMO WAOPERATION
Hakuna ubaya wa kuiga jambo zuri. Mfano viongozi na maafisa wa chama wanagawanamajukumu ya kwenda kwenye majimbo na wilaya kuongeza nguvu ya usimamizi wa uchaguzikwenye eneo moja hadi jingine. viongozi na maafisa *a cha-a waliotumwa na chama waandaetaarfa moolum ya uchaguzi juu ya namna walivyofanikiwa kudhibiti vitendo vya rushwakwenye maeneo waliyoaminiwa kutekeleza wajibu huo na kuikabidhi kwa chama. Taarifa hiyoitakisaidia chama kufanya tathmini juu ya vitadhidi ya rushwa ili chama kijue kimefanikiwa wapina kimeshindwa wapi ili kuongeza ufanisi wa wajumbe kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa2024 na uchaguzi mkuu 2025 katika kuchagua Diwani, Mbunge na Rais

4. KUANDAA MATANGAZO YENYE LENGO LA KUWAELIMISHA WANACHAMAKUELEKEA UCHAGUZI 2022 NA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI NAMITANDAO YA KIJAIVIII KUFIKISHA UJUMBE ULIOKUSUDIWA.

Kutokana na uwepo wa vyombo vya habari kama TBC,ITV,sTARTV,channel lo,UhuruFM,magazeti na mitandao ya kijamii inaweza kuelimisha wanachama wetu kabla muda wauchaguzi haujafika' Kwa mfano maoni kama haya yakipewa fursa kwenye vyombo vya habarivya chama na visivyo vya chama nafikiri kwamba kunachocho te kinawezakupatikana kwa lengola kuboresha hali yetu kwa sasa

MWISHO

Kupitia barua ya pongezi niliyopokea kutoka chama cha mapinduzi wilaya ya Kakonko/Buyunguyenye Kamb' No CCWKNI(U.2/V0L.3/168 ya tarehe 8/11/2020 ilinisisitiza kutokata tamaandani ya chama na kuendelea kukijenga na kukiimarisha mahali popote kwa maslahi mapana yachama na serikali yake kwa kuendelea kushauri na kushirikisha kwa nia yakukiimarisha chamachetu kiendelee kuwa madhubuti.

Haya ni maoni yangu ambayo nimeona niwashirikishe ili kuboresha na hatimaye tupate wajumbe2022 ambao watakuwa na kazi ya kuongoza chama kama viongozi na kupiga kura ya maonikatika uchaguzi wa serikari zamitaa2024 na uchaguzi mkaa 2025.

Kujiandaa vizuri kutafanya ccM kuwa na wajumbe ambao watachagua wagombea wanaonadikakwenye kampeni katika chaguzi za serikali zamitaa2024 nauchaguzi mkuu 2025 na kupunguzalawama zawapinzani wetu juu ya matumizi ya nguvu ya vyombo vya dola.

Hakuna ulazima wa kuchukua ushauri huu maana tangu mwanzo nimesema haya ni maoni yangukwahiyo nisihukumiwe kwa lolote.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU AWABARIKI
ELIA MICHAEL KANTERO
0623 525 7 5 8/0747 707 3 I 2

Nakala: Katibu wa CCM Wilaya-Kwa taarifa
S.L.P 5
KAKONKO.
Katibu wa CCM Mkoa,
S.L.P 199
KIGOMA
Uchafu wa washenzi wa nchi hii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom