Ushauri kwa Bodi ya Filamu kuhusu Sekta ya Filamu

fenisher

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
340
707
Katika swala ambalo Bado ni chanagamoto katika SEKTA ya FILAMU ni maendeleo ya kimtandao, wakati huo tulikua tukiangalia FILAMU kupitia chaneli zetu na baadae kuanza matumizi ya cassette (Deki ya matofali), tukatoka hapo na kuanza matumizi ya CD na Sasa tuko katika ulimwengu wa Application kwa mfano NETFLIX.

Lakin ukiangalia Tanzania Bado hatuna huo mfumo ambao unawaunganisha watu wote wa FILAMU, Kila mtu anatengeneza Application yake na hakuna ushirikiano kutoka kwa wengine. Sitapenda kuzitaja application hizo lakini hakuna hata Moja inayounganisha watu wote wa FILAMU.

USHAURI:
Taasisi inayohusika na kusimamia Kazi za watu wa FILAMU ingekuja na Wazo la kutengeneza Application Moja ambayo ingeweza kutumiwa na watu wote, na hilo jambo linawezekana. Ikiwa taasisi inayohusika ikishirikiana na serikali na kuandaa Application hiyo, kutakua na faida kwa Watu wa FILAMU, Taasisi yenyewe na Serikali (Kodi).

Kwa mfano FILAMU Moja ikitazamwa kwa gharama ya shilingi mia (100)
Shilingi 60 kwa mmiliki wa FILAMU
Shilingi 20 kwa ajili kuendesha hiyo app
Shilingi 15 kwa Kodi serikalini
Shilingi 5 kwa Taasisi yenye kusimamia

Tukadirie watazamaji kupitia kwenye app waliongalia FILAMU hiyo ni 500,000
500,000*100 = 50,000,000

Nb: hayo ni makadirio ya FILAMU Moja. Na sasa watumiaji wa simu za smartphones wanaongezeka, kwenye nyumba Moja ya mtanzania huezi kukosa watu wawili wanaomiliki hizo simu janja, pia Kuna tv zenye mfumo kama wa smartphones majumbaani kwetu kwa wachache. Dunia inabadilika kadri miaka inavyozidi kwenda, teknolojia inakua Kila siku, hatuna budi kwenda na mfumo wa dunia unavyokwenda.

Wazo tu.
 
Umeongea jambo kubwa na lenye mantiki sana,

Hamu yangu kama iandikwe barua kwa wizara ya sanaa na utamaduni
 
Back
Top Bottom