Ushauri kwa akina dada/mama

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,530
1,733
Katika kipindi hiki cha kuzuina msongamano, akina dada na akina mama jitahidini kuwahudumia vizuri wanaume zenu/ wachumba zenu hasa wale wanaotumia vileo. Mjitahidi hata kuvaa vimini, kuwa binuliabinulia makalio, kuwa uliza kama imeisha niongeze , kuwa pigia nyimbo wanazotaka wakati mwingine mcheze kabisa ila mkichukua tahadhari pia ili wasiboreke na kutamani bar. hii huenda ikasaidia hata baada ya covid-19 kumalizika.
 
Nimeiona kule Twitter. Kwanini wewe ndiye uliyetuma huu ujumbe kule Twitter au umenakili?
 
Back
Top Bottom