Ushauri: Kutokwa na uchafu kama maji mengi yasiyo na harufu sehemu za siri inaashiria nini?

Hayo maji mngeweza kuyapeleka lab ingesaidis sana. Kwa sasa anywe glass ya maji kabla hajalala na mara anapoamka . Kwa maelezo uliyotoa asipokunywa maji anaweza kupungukiwa na maji mwilini.

Nenda kwa daktari kwa msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom