Demokrasia na maendeleo Ni pacha. China Ni nchi ya chama kimoja, uchaguzi wao hawapindui matokeo ya udiwani Wala ubunge wa chama kingine. Nina mengi ya kukueleza lkn kwa kifupi umeelewa.Tunataka maendeleo kama nchi za Asia ! Demokrasia ni baada ya maendeleo. Mbona wawekezaji hawakatiki huko China na hakuna Demokrasia?