Ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na Ndoa za Mitala

Operand

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
275
283
Habari za mchana jf?

Jamani naomba kuwauliza wazee wetu mlioko JF, Hivi mliwezaje ama mnaweza vipi kuishi na wake (wives) wawili n.k kwa miaka nenda rudi bila ndoa kuvunjika vunjika?

Vijana wa sasa ndoa ya mke mmoja inatutoa Jasho

Wazee wetu kina Asprin tunaomba mawaidha hapa
 
Zamani ilikuwa rahisi vile wanawake walionewa, hata asiporidhishwa anatulia sikuhizi utamuonea Nani atulie. Ukioa mitala uwe na fedha bila hivo utashindwa tu,mitala ni applicable kwa primitive society
 
Na kweli haha😅
 
Mimi unanionea bure. Nina ndoa ya mke mmoja tu. Miaka 48 ya ndoa takatifu katoliki na mke wa ujana wangu Sky Eclat

Wake wawili hebu pata uzoefu kwa mzinzi Mshana Jr

Mimi hata kuchepuka siwezi, labda itokee tu.
 
Mimi unanionea bura. Nina ndoa ya mke mmoja tu. Miaka 48 ya ndoa takatifu katoliki na mke wa ujana wangu Sky Eclat

Wake wawili hebu pata uzoefu kwa mzinzi Mshana Jr

Mimi hata kuchepuka siwezi, labda itokee tu.

1593915888741.jpeg

And this is how we look after 48 years of marriage.
 
Back
Top Bottom