Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
- Thread starter
- #41
Mfano, ikatokea huko CHADEMA wenyewe wakamkata jina Lissu, halafu mtu akajenga hoja kuwa CHADEMA ni CCM B? mtu huyo atakuwa yuko sahihi, au na yeye atakuwa anajaribu kuleta 'confusion?'Mimi naelewa kwa hakika kabisa TUNDU LISSU is a real threat to CCM and Magufuli in particular....
CCM hawangependa by all means possible mgombea wao Magufuli apambane kwenye jukwaa la kampeni na Tundu Lissu and the reason is very well known....
Kuzuia hili, harakati kama za watu kama huyu mleta mada zilizovikwa mwavuli wa "kwa nia njema, nashauri", zitafanyika sana only to cause confusions in their main opponent camp....
Wakati fulani kuna watu wanatamani vitu, halafu wanadhani wanavyovitamani ndivyo vilivyo lakini kumbe vilivyo katika uhalisia wake ni tofauti kabisa. Pamoja na kutamani, ni muhumu kuangalia vitu katika jicho pana zaidi.