Ushauri kununua kiwanja

babkaju3

Senior Member
Mar 9, 2015
118
92
Habari wa jamii, nataka kununua kiwanja na ndio mara yangu ya kwanza na nilikuwa naomba kwa wenye uzoefu wa biashara izo wanishaur ni njia zipi naweza kupitia ili nisije jikuta tumeuziwa wawili na kutengeneza mgogoro natumain mtanisaidia niko Dar.

Asanteni
 
nenda wizarani temeke unaweza kupata vya serikali
 
Back
Top Bottom