Ushauri: Kuna mwanamke ananipenda lakini mimi naishiwa hamu kwa kuwa ananuka mdomo

Mlongachalo

Member
Jun 19, 2016
37
14
Habari wandugu,

Kuna mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimuone. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi. Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho nabidi nimgegede. Kumbuka huyu mwanamke anamtoto na ni single mother.

Nifupishe tu huyu mwanamke ni mrembo lakini tatizo lake tu ni kwamba ananuka mdomo na huwezi hata kula denda nae ile hali yeye wakati wa kuduu mbwebwe nyingi mara ulimi anataka kukuingizia mdomoni yani ni tabu tu kweli napata kinyaa na hata hisia zinapotea wakati nipo nashughulika.

Tatizo la mdomo kumbuka ni nini chanzo?

Ushauri wakuu.
 
Fanya suprise tu mtafutie dawa ya meno, mswaki na hydrogen peroxide funga kwenye gift paper then mpe kama suprise ataelewa
 
nlishaachwa baada ya kumwambia yule kaka ukweli tukiongea closer mdomo wake unanuka...kuanzia siku hiyo akauchuna thn taratiibu akaniacha.
 
Kweli wapo wahivyo.
Cha kufanya msaidie ili asiendelee kunuka mdomo.
Shida ni kwamba kizazi cha sasa hakitaki kuelekezwa jambo.
Ukimuelekeza namna ya kufanya, wengi wao ndiyo inakuwa imetoka hiyo.Humuoni tena.
Wanajiona ni malaika wamekamilika sana.
Kazi kwelikweli.
 
Ur right..Ummesh.. Anavigezo vyote na mpambanaji kweli kweli.. tatizo tu ni hiyo harufu ndo nashindwa...Mapenzi hayaendi bila denda sa akikusogelea mpaka hisia zinapingua
 
Unajua kunuka mdomo asilimia kubwa unakua na jino bovu na mpk ulingoe ebu jaribu kumdodosa kuwa una jino bovu kama analo kangoeni ubaya wa mdomoni maskin muhusika ata haujijui pole
 
Mwenyezi Mungu alipomuumba mwanamume kuwa kiongozi si kwa kuwa na uwezo wa kumkaza mwanamke na kumpa mimba bali pia kukabiliana na changamoto mbali mbali zinazoizunguka jamii yake na familia yake......

Sasa kama wewe ambaye ungepaswa umuongoze huyo mwanamke kwenye kupambana na kero hiyo....matokeo yake unakuja kulalamika huku....ni wazi kuwa umepoteza nafasi yako ya uongozi kwa mwanamke......

Hakuna mkamilifu chini ya jua...pengine hata wewe una kero yako kubwa ambayo mwenzako anaivumilia kwa kuwa anakupenda.....
Hili suala lingekuwa dogo sana kama mngekaa na kijana mwenzio na kulitafutia ufumbuzi.....

Ukishakuwa mtu mzima lazima ujifunze kukabiliana na changomoto mbali mbali na hizo zikiwemo......

Watu wapo kwenye mahusiano na wenza wao kwa muda mrefu si kuwa kuwa mambo ni shwari la hasha bali ni kutokana na uwezo wao wa kukabiliana na changamoto zilizopo kwenye hayo mahusiano.....na kama ungepata kufahamu....kilichopo nyuma ya pazia la mahusiano yenye furaha hakika ungeshikwa na mshangao....

Na kama humpendi unawezaje kumvua chupi na kufanya nae ngono.....ni mwanamume gani unayeshindwa kudhibiti matamanio yako na kuwa mtumwa wa mihemko yako.....!!???

Hebu kuwa....onyesha uanamume....onyesha kwanini wewe umekuwa kiongozi wa mwanamke....onyesha kwanini wewe unapaswa kuwa kichwa cha familia.....!!!??

Be a real GENTLEMAN.....
 
Habari wandugu!
Kuna Mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimwoe. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu ...yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi.

Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho nabidi nimgegede. Kumbuka huyu Mwanamke anamtoto na ni single mother.

Nifupishe tu...Huyu mwanamke ni mrembo lakini tatizo lake tu ni kwamba ananuka mdomo na huwezi hata kula denda nae ile hali yeye wakati wa kuduu mbwebwe nyingi mara ulimi anataka kukuingizia mdomoni...yaniiii ni tabu tu...kw kweli napata kinyaa na hata hisia zinapotea wakati nipo nashughulika...Tatizo la mdomo kumbuka ni nini cahzo...Ushauri wakuu...
Mkuu mwone tabibu wa kinywa na meno bhana
 
Mshauri abrush meno kila baada ya kula meno ya juu ndani kushoto kulia nje kushoto kulia chini hivyo hivyo mwisho ulimi pia mpaka chini kwenye koromeo ikibidi ahisi kutapika akikazana zaidi ya wiki moja mpaka siku 2 ataachana na ilo tatizo. Yupo kuna dogo alikua ananuka mdomo balaa yaaan huongei nae mara mbili. Na dawa ni colgate
 
Mwenyezi Mungu alipomuumba mwanamume kuwa kiongozi si kwa kuwa na uwezo wa kumkaza mwanamke na kumpa mimba bali pia kukabiliana na changamoto mbali mbali zinazoizunguka jamii yake na familia yake......

Sasa kama wewe ambaye ungepaswa umuongoze huyo mwanamke kwenye kupambana na kero hiyo....matokeo yake unakuja kulalamika huku....ni wazi kuwa umepoteza nafasi yako ya uongozi kwa mwanamke......

Hakuna mkamilifu chini ya jua...pengine hata wewe una kero yako kubwa ambayo mwenzako anaivumilia kwa kuwa anakupenda.....
Hili suala lingekuwa dogo sana kama mngekaa na kijana mwenzio na kulitafutia ufumbuzi.....

Ukishakuwa mtu mzima lazima ujifunze kukabiliana na changomoto mbali mbali na hizo zikiwemo......

Watu wapo kwenye mahusiano na wenza wao kwa muda mrefu si kuwa kuwa mambo ni shwari la hasha bali ni kutokana na uwezo wao wa kukabiliana na changamoto zilizopo kwenye hayo mahusiano.....na kama ungepata kufahamu....kilichopo nyuma ya pazia la mahusiano yenye furaha hakika ungeshikwa na mshangao....

Na kama humpendi unawezaje kumvua chupi na kufanya nae ngono.....ni mwanamume gani unayeshindwa kudhibiti matamanio yako na kuwa mtumwa wa mihemko yako.....!!???

Hebu kuwa....onyesha uanamume....onyesha kwanini wewe umekuwa kiongozi wa mwanamke....onyesha kwanini wewe unapaswa kuwa kichwa cha familia.....!!!??

Be a real GENTLEMAN.....

Mmmmh umemchana serious sana..... na imfikie.... sio kulia lia tu
 
Eddy hii hali ipo kwa watu wengi mzee. Nadhani anachoongea mtoa mada ni sahihi.
Mimi kuna classmate nimesoma nae alikuwa na hili tatizo. Mswaki anapiga fresh kila siku tena mara mbili but hali ile ile. Mwisho wa siku tulimshaur aende kwa dentist....
Mdomo wa kunuka hivyo tatizo lake liko tumboni, digestion system yake haiko vizuri.
 
Habari wandugu!
Kuna Mwanamke analazimisha mahusiano ya mimi na yeye tuwe pamoja na ikibidi nimwoe. Ila cha kushangaza napokutana nae kupiga stori mbili tatu ...yeye anatoka kwenye point ya mazungumzo na kuaanza kutaka tufanye mapenzi.

Huwa najitahidi kumkatalia lakini ananibembeleza mpaka mwisho nabidi nimgegede. Kumbuka huyu Mwanamke anamtoto na ni single mother.

Nifupishe tu...Huyu mwanamke ni mrembo lakini tatizo lake tu ni kwamba ananuka mdomo na huwezi hata kula denda nae ile hali yeye wakati wa kuduu mbwebwe nyingi mara ulimi anataka kukuingizia mdomoni...yaniiii ni tabu tu...kw kweli napata kinyaa na hata hisia zinapotea wakati nipo nashughulika...Tatizo la mdomo kumbuka ni nini cahzo...Ushauri wakuu...
Tatizo lake liko tumboni huyo, sio mdomoni.
 
ebu kuwa mwanaume basi....issue ya kunuka mdomo tu unatuambia sie tukupe ushauri siku akianguka chango je"??...ebu tatua icho kijitatizo then funga ndoa
 
Ila mwanamke mnuka mdomo anakera sana!... Halafu wengi ukiwaambia wanakuwaga wabishi.
 
Back
Top Bottom