Ushauri: Kuku wangu wamepunguza kutaga.

Dec 8, 2012
31
8
Wana JF, Poleni na kazi ya kuelimisha wajasiliamali. Mimi nina kuku takribani 300, ni wale wekundu wa kisasa wa MAYAI. Tangu mwezi huu wa sita uanze, kuku hao wameacha kabisa kutaga. Leo ndo nimeokota only yai moja tu. Nashindwa kuelewa sababu. Mimi niko MBEYA eneo la ITUHA. Kwa upande wa kuku wa kienyeji, wao wanakwenda vizuri sana na idadi ya mayai yanaridhisha sana. Hao kuku wa mayai wa kisasa wana miezi 2 tu tangu waanze kutaga. Naombeni ushauri au labda ni kwa ajili ya kipindi hiki cha baridi au vinginevyo? Niokoeni imenichanganya sana . NAOMBA USHAURI hata kwa simu o752 345066 au 0715 274128 .
 
hali ya hewa tu imebadilika, ndiyo maana hata watoto na watu wazima wana mafua na vikohozi -- wape vitamin tu kuondoa stress; lakini hakikisha hawana magonjwa mengine kama ya kuharisha!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom