Ushauri kuhusu vyuo na kozi kama amechaguliwa zaidi ya mara moja

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Samahan wadau kuna dogo second round alichaguliwa koz ya BAED TEKU akaconfirm lkn akaomba third round kachaguliwa UDOM koz ya HUMAN RESOURCE na huyu dogo atasomeshwa na wafadhili wake kutoka Canada sasa dogo anapenda kwenda UDOM na aliconfirm Teofilo kisanji university

Je hapo inakuwaje akijipeleka UDOM kuripoti itamletea shida mbeleni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom