Ushauri kuhusu peugot 206

MamaParoko

JF-Expert Member
Jan 14, 2008
463
60
Kwa wenye uzoefu na gari za peugot 206 noambeni ushauri, nataka kununua gari hii lakini sina uhakika kuhusu maintenance yake kwa hapa TZ.
 
Automatic or manual?!?! engine?? diesel or petrol!! one thing you can guarantee yourself is its fuel effeciency wont make you scream :) the rest it depend what model you are buying!
good luck mama
 
Automatic or manual?!?! engine?? diesel or petrol!! one thing you can guarantee yourself is its fuel effeciency wont make you scream :) the rest it depend what model you are buying!
good luck mama
si amesema ni pegiot 206!! au??
me naijua kwa kuionatu bwana.
kiukweli ni nzuri. lakini sasa when it comes to sensitive issues me mweupe kabisa.
sore.
 
MamaParoko ,Pijo bongo zina tatizo la Spare parts na mafundi wa pijo za kisasa hawapo na wale wa zamani wengi wamekufa.ukileta bongo jiandae baadaye kuweka engine ya Toyota corolla.
Pijo,Golf,Ford huwa zinafanyiwa modification na kuwekwa vipuri vya Toyota kwani gari za kijapani spare zipo tanzania nzima na mafundi wa mitaani ni wengi
 
Kwa wenye uzoefu na gari za peugot 206 noambeni ushauri, nataka kununua gari hii lakini sina uhakika kuhusu maintenance yake kwa hapa TZ.

nunua usiogope. Ninayo 306 na haijawahi sumbua. Spare kwa hapa nilipo ni nyingi. Achana na vigari vya kijapan. Kuwa tofauti. Wasikutishe. Ila jitahidi iwe nzima na low milliage. Mi napenda magari ya wadhungu.
 
hapa Arusha parts zipo na mafundi wapo kwa hizo gari zote. Ukitaka nikupe namba ya fundi thema. Ila kwa baadhi ya parts ni nairobi. So msiogope. Magari ya siku hizi yako computerized hata wewe unaweza tengeneza.
 
Mi nna peugeot 607 na tunanunua spare kwa Nathoo,kitu kibaya ni kwamba spare sio cheap,ila peugeot ni gari nzuri sana.
 
Back
Top Bottom