Ushauri kuhusu Nissan Dualis

IDFakenyingine

Senior Member
Sep 28, 2022
154
378
Bila kuwachosha, niende kwenye mada.

Nimetokea kuipenda sana hii gari, na ninataka kuinunua.

Lakini kabla 'sijajilipua', ningeomba mawili matatu kuhusiana nayo kutoka kwa wataalam wa magari au watu waliowahi kumiliki Nissan Dualis.

Je, ni kweli ENGINE na GEARBOX za hii gari ni PASUA KICHWA SANA..?!

Vipi uhimilivu wake kwenye ROUGH ROADS..?
Manake ITAPAMBANA na kilometa 25 za rough road kabla ya kugusa lami mara 3 kwa wiki!

Vijiweni maneno ni mengi, nimekuja humu nakiamini kuna WAJUZI na WATAALAM!

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Cc: Extrovert RRONDO Offshore Seamen JituMirabaMinne Boeing 747 chilubi
 
Nikagari kazuri sana nakatumia mwaka wa nne. Miaka miwili nimekitumia location ya milimani na barabara ni mbovu, kipindi cha mvua ndo yenyewe ilikuwa inapandisha kijijini tuu. Usikose kwenye service tuu ambayo ni simple Kwa gari mpya ukiagiza inakuwa ni kumwaga oil na kubadili filter. Make sure unatumia oil iliyoandikwa kwenye kitabu chake. Huta jutia. Kwenye oil sijui ya gear box usimuachie fundi akwambie ubadili inakaa hata km 200,000 huko na ukibadili weka yakwake special iliyoandikwa kwenye kitabu. Sijawahi badili kitu kingine kwenye gari na haligongi gongi chini.
Kabda sijasahau petrol nayo linachagua hakikisha unaweka ya total hizi stetion Za mafuta nyingine Changamoto mafuta yanakuwaga machafu Mara nyingi. Gari ndo naitumia kila siku na safari inapiga boda tu boda wakati wowote. Wanaoaribugi magari ni mafundi wetu wa mchongo.

Ushauri wa muhimu niliowahi pewa ni kuwa na Fundi wauhakika mmoja anayeijua gari yako na mapungufu Kama yapo.
 
Shukrani.
Mchango wako ni wa thamani kubwa sana.

Vp na yenyewe ina sensors kama zote..?

Kama inazo, ni zipi hasa zinazoleta misala ya ghafla barabarani ili mtu ujiandae?
 
Haina sensor mbaya ni Za kawaida tuu. Check engine labda Kwa sababu ya mafuta machafu sheli zeta Hizi. Gearbox wabongo tunaziaribu wenyewe Kwa kumwaga ile oil og na kuweka yetu ya mchongo. Mafundi wengi wanafanya mambo Kwa kukariri kumwaga tuu gearbox oil wakati hata inatakiwa isiguswe mpaka karibia I’m 200,000 huko sasa Kama umenunua Kigari kina soma km 80,000 lini utabadilisha Hiyo.
 
Kiongozi, maelezo yako yananitia moyo sana.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom