Ushauri kuhusu namna gani bora ya kuandika kitabu

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Asalaam

Nianze hivi.

Wanajamvi nimekuwa interested kuandika vitabu vya kitaaluma kama wanavyoandika wakina Nyambari Nyangwine...hii "spirit" uwa inaniijiaa nkiona vitabu vilivyoko mtaan...vingi haviko "well documented".

Naomba kufahamisha mambo yaafuatayo:
1. Namna bora yaa kuandika kitabu kwa kutumiaa "Microsoft Word" hii ya 2007. (Je, Kuna ulazima wa kutumia template?)

2. Mchapaji mzuri Kuanzia gharama na ubora wa Kazi kwa mwandishi "Amateur" kama mimi. Gharama zikoje za kitabu cha page chini ya 400

3. Gharama za editing? Je, ni lazima awe ni "proffesional editor" au hata walimu wa shule za Sekondari waliosoma lugha husika?

4. Kitabu bora kwa maana ya (best selling au readable book) kinatakuwa kuwaje kwa kuzingatia "nature" ya sisi watanzania (hatupendi kusoma).

5. Mwisho kama unamjua mwandishi basi unaweza ntumia contact zake niwasiliane naye kwa muongozo zaidii.

Naomba kuwasilishaa.
 
Back
Top Bottom