Ushauri kuhusu mkeo kupata rafiki ambaye alikuwa x-gal wako bila wao kujua

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Salam wadau,

Mkeo amekuaga kwenda kwenye interview, huko akapata rafiki wakapeana namba na wanawasiliana, mara umeikuta namba ni ya x-gal wako mlikutana chuo, na rafiki huyo amekuwa akimwambia mkeo amsalimie shemeji.

Kama mwanaume nini cha kufanya hapo endapo ulimwahidi x-gal huyo kumwoa mara baada ya chuo mkakata mawasiliano na namba ukabadili kabisa?
 
Kila mtu ana historia yake katika mahusiano! Kama huyo x mliachana katika terms nzuri hakuna tatizo. Ila kama mlisha kwaruzana jiandae kwa makaburi kufukuliwa!

Na kama bado unammezea mate huyo x wako.. Fanya "divide and rule " pandikiza kirusi kati yao uwasambaratishe.
 
Huo inaitwa umarekani aisee
 
Wengine ndo tunaamka hapa gesti.
FB_IMG_1509895624146.jpg
 
Kama upi?
Kuna kijana hapa mtaani baba yake mwanajeshi ametafutia kanafasi mwanae aendepo jeshi
Mtoto hataki kwenda sasa amemwambia anataka nini hasemi yeye ni mzee wa bata batani tukimshauri jibu lake ni moja ''THIS IS MY PERSONAL LIFE''
HUYU baba yake si anampambania 28+ huyu Me
 
Back
Top Bottom