As kwenda advance private inabidi awe na C 3. Mpeleke chuo tuWapendwa! Naomben ushauri wenu
Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26
Kiswa B, English C, Lit Engl D
Bios,Civics, Geog---- D
Hist F and Math F
Je anaweza kwenda kusoma advance au njia gani nyingine ya ziada ifanye ili asonge mbele kielimu? ?
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us