Ushauri kuhusu mabati ya Alaf

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Naombeni kujua lipi chagua sahihi kwa mabati ya Alaf gage 30 kati ya migongo mipana na migongo midogo ipi nzuri kuezekea Nyumba ya kawaida?
 
Naombeni kujua lipi chagua sahihi kwa mabati ya Alaf gage 30 kati ya migongo mipana na migongo midogo ipi nzuri kuezekea Nyumba ya kawaida?
Why Gage 30? Gage standard kwenye nyumba ni 28 mkuu,
Migongo mipana inapendezesha sana nyumba, chukua charcoal grey
 
Gage 28 ndio safi Mkuu, Mimi nilichukua Gage 30 wiki mbili zilizopita Pale kiwandani kwao kutokana Na pesa Yangu..!! Migongo mipana inapendeza zaidiii..!!
 
Why Gage 30? Gage standard kwenye nyumba ni 28 mkuu,
Migongo mipana inapendezesha sana nyumba, chukua charcoal grey

Wabongo tunavyopenda kuigana hiyo Charcoal grey sasa hivi kila anaejenga rangi ya bati ni hii hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom