Why Gage 30? Gage standard kwenye nyumba ni 28 mkuu,Naombeni kujua lipi chagua sahihi kwa mabati ya Alaf gage 30 kati ya migongo mipana na migongo midogo ipi nzuri kuezekea Nyumba ya kawaida?
Why Gage 30? Gage standard kwenye nyumba ni 28 mkuu,
Migongo mipana inapendezesha sana nyumba, chukua charcoal grey
Mnaweza kutuwekea picha ya rangi na muundo tukapata kuelewa?Wabongo tunavyopenda kuigana hiyo Charcoal grey sasa hivi kila anaejenga rangi ya bati ni hii hii
Charcol grey ndiyo rangi gani kwa kiswahili cha mtaani?Why Gage 30? Gage standard kwenye nyumba ni 28 mkuu,
Migongo mipana inapendezesha sana nyumba, chukua charcoal grey
Charcol grey ndiyo rangi gani kwa kiswahili cha mtaani?
gage 30 wanauzaje bando na zinakaa ngapiGage 28 ndio safi Mkuu, Mimi nilichukua Gage 30 wiki mbili zilizopita Pale kiwandani kwao kutokana Na pesa Yangu..!! Migongo mipana inapendeza zaidiii..!!
gage 30 wanauzaje bando na zinakaa ngapi
Eti kuna utofauti wa migongo katika hizo bati?? Na utofauti huo umekaaje wakuu?Chukua simba dumu migongo midogo hata g30 yanafaa sana. Hayapati kutu.
Migongo inayoongelewa migongo midogo (bati muundo wa kizamani) na migongo mipana ( wanaita ya south)Eti kuna utofauti wa migongo katika hizo bati?? Na utofauti huo umekaaje wakuu?
Vipi hiyo Gauge 30 si kidogo wenye kipato Cha kuunga si inatosha?Gage 28 ndio safi Mkuu, Mimi nilichukua Gage 30 wiki mbili zilizopita Pale kiwandani kwao kutokana Na pesa Yangu..!! Migongo mipana inapendeza zaidiii..!!
Rangi ya kahawaCharcol grey ndiyo rangi gani kwa kiswahili cha mtaani?
wanauza shilingi ngapi kwa mita?Gauge 28 ndio nzuri japo bei yake imechangamkaa.
wanauza shilingi ngapi kwa mita?Gauge 28 ndio nzuri japo bei yake imechangamkaa.