Ushauri kuhusu Infinix Hot S4 na Samsung A10, ninunue ipi?

Sorry kiongozi,vipi ukaaji wa chaji nataka ninunue ila nahofia sana chaji coz napenda cna kutumia internet,itanifaa kweli,thanks in advance
 
Acha uongo
Mi mwenyewe nmemushaur aichukue mnyama a10 aenjoy maisha hiyo infinix hamna cm hapo Mtk nayo ni cm tena mtk ya kizamani bora ingekuwa ya sasa kama ikiyopo kweny A10s mtifautishe a10 ya kawaida na a10s
Screenshot_20191209-165022_1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom